tcu hacked

dah chief upo ryt yan hata mim wananiudh sana hawa wa2 nadhan ingekua bora ki2 cha kwanza kuhack wizara ya sayans na tek kuliko ku hack website ambazo zipo kwa maslah ya nchi nzima and i really believe huyu hacker hana hata interest na elim ya watz who do u think it may be?
 
mnajua ni upuuzi huu. Watu wakihack tcu at the end nani anafaidika??? Mnaona kama mnaikomoa serikali kumbe mnamkomoa mtoto wa mkulima. let say mtoto wa kigogo amepata 3 na hana sifa ya kuchaguliwa tcu na kaona hii thread tcu ipo hacked so anaweza eka uwezo wake wote ili ampate hackers ili aekwe na yeye kwenye majina ya waliochaguliwa

Mwenzangu na mimi maskin yupo kijijni hajui kinachoendelea anaambia hujachaguliwa na division one anabaki nyumban hana hata wa kumtetea.

Msishabikie vitu kama hivi

Upo saawa mkubwa lakini sidhani kama kuna mwenye akili anaweza kushabikia ila ni wameangalia upande mmoja wa shiling wakasahau upande mwingine.
Hope wameupata ujumbe wako.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom