TCU guide book 2014/2015 vs Ndalichako

TCU guide book 2014/2015 vs Ndalichako

Kwanza ushauri wangu tunza hiyo guidbook kama unayo ili iwekigezo baadaye kuwashitaki.Ila piga book.Hata wale diploma bado waangalia namna yakwenda mahakamani
Acha zako hakuna haki nchi hii ukishatimuliwa ndo basi sahau mahakama ni magufuli waziri mkuu magufuli spika to naibu Nani atakusikiliza
 
Ndugu kiukweli mfumo wetu wa elimu bado unachangamoto kubwa maake kila kukicha unakutana na mabadiliko ambayo muda mwingine yanaathiri maisha yetu sababu unakuta watu wengine tayari wapo kwenye system ghafla unabadilisha bila hata kuwawekea mazingira ya kupambana na hayo mabadiliko japo katika kuleta mabadiliko kuna watu lazima waumie na wengine pia hufaidika ila kwa hii nchi bado tuna kazi ya ziada kuikomboa elimu yetu
 
Wadau kadhaa wefafanua vzr, ila nami niongezee kidogo! Vigezo vipya vya kuingia university vilivyotolewa hivi karibuni vinahusu applicants wa 2016/2017, havihusu wanafunz au hata waliosajiliwa last year na kuhairisha mwaka wa masomo!
Na hata wangetoa tangazo kuwa vigezo hivyo wanahusu waliopo masomoni au waliokuwa registered last year na kuhairisha mwaka huo ungekuwa ukiukwaji Mkubwa sana wa taratibu ambao kisheria haupo na haukubaliki! Hivyo mdau wewe endelea kupiga kitabu tu worry not kbs
 
Thanks you broo, appreciation
 
Habarini ndugu JF, mm ni mwanafunzi chuo kikuu naingia mwaka wa 3 nasoma Bach in education ya science based only in biology. Matokeo yangu form 6 ya 2014 nilikuwa na B- Biology, D-chemistry na E-physics yaani PCB. Sasa mama ndalichako ananiumiza kichwa kwa kusema anatuondoa tusio na CC mbili, nili apply kulingana na guide book inavosema ili mtu kupata chuo you must have D's mbili, pia katika taarifa yake kasema kama hatuna vigezo hivo tusiendelee kupoteza muda na pesa zetu. Je ushauri wenu ni upi kwangu? Mwakani mwezi wa sita inabidi nigraduate. Mawazo yenu yanahitajika, pia rejea hii guide book nimetake screenshot sehemu husika ili upate majibu zaidi. Shukrani.View attachment 371974
Acheni kupotosha na kupotoshwa Hakuna sehemu Ndalichako amesema anawaondoa wasio na C mbili bali amesema atawaondoa wasio na sifa husika kwa mwaka husika.

Kama mwaka husika ulohitaji kuanzia E mbili basi uwe na E mbili si kinyume na hapo. Acheni kuokoteza habari na kuzifanya habari kuu na kujikuta mnajichanganya.
 
Wakiwatimua nendeni mahakamani, waache kufanyia majaribio maisha ya watu.
Hivi mna hakika Ndlichako alisema hayo yaliyo andikwa?
Piga kitabu..... Hao tusha wazoea ni wazuri wa kufanya test kwnye maisha ya watu...
Sema ondoa hofuu ww uko vinzuri

Na alie na two D's kama kitabu kivyokua kinaelekeza inakuaje hapo .....ama inategemea na mwaka uliomaliza ....

Kwanza ushauri wangu tunza hiyo guidbook kama unayo ili iwekigezo baadaye kuwashitaki.Ila piga book.Hata wale diploma bado waangalia namna yakwenda mahakamani

Ndo maana Chadema tumeleta UKUTA ili kupambana na udikteta kama huu

Ndugu kiukweli mfumo wetu wa elimu bado unachangamoto kubwa maake kila kukicha unakutana na mabadiliko ambayo muda mwingine yanaathiri maisha yetu sababu unakuta watu wengine tayari wapo kwenye system ghafla unabadilisha bila hata kuwawekea mazingira ya kupambana na hayo mabadiliko japo katika kuleta mabadiliko kuna watu lazima waumie na wengine pia hufaidika ila kwa hii nchi bado tuna kazi ya ziada kuikomboa elimu yetu
 
Acheni kupotosha na kupotoshwa Hakuna sehemu Ndalichako amesema anawaondoa wasio na C mbili bali amesema atawaondoa wasio na sifa husika kwa mwaka husika.

Kama mwaka husika ulohitaji kuanzia E mbili basi uwe na E mbili si kinyume na hapo. Acheni kuokoteza habari na kuzifanya habari kuu na kujikuta mnajichanganya.
Ndugu katika hotuba zake hivi karibuni ukiingia YouTube na pahali pengine amependa kunena hivo.Nimefuatilia ikawa inanitia mashaka kidogo
 
D ya mwaka 2014 inaweza kuwa F ya mwaka huu kuwa makini hapo
 
Ndugu umeelewa swali langu? Iwe F au Z don't suite but mwaka husika unasemaje niliofanya application nikakubaliwa?!!
 
Ndugu katika hotuba zake hivi karibuni ukiingia YouTube na pahali pengine amependa kunena hivo.Nimefuatilia ikawa inanitia mashaka kidogo
Kwa vyovyote vile hukumuelewa hata pale kwa Sam mahela alifafanua hili atahakikisha vigezo vilivyo wekwa mwaka husika vimefatwa kama alivyo fanywa kwa wanafunzi wa special Diploma UDOM aliwarudisha walio kidhi vigezo husika na vilovyo takiwa.
Hebu punguza wasiwasi na utunze nikicho kiandika hapa.
 
Back
Top Bottom