Samir7900000
Member
- Jul 26, 2016
- 52
- 26
Habarini ndugu JF, mm ni mwanafunzi chuo kikuu naingia mwaka wa 3 nasoma Bach in education ya science based only in biology. Matokeo yangu form 6 ya 2014 nilikuwa na B- Biology, D-chemistry na E-physics yaani PCB. Sasa mama ndalichako ananiumiza kichwa kwa kusema anatuondoa tusio na CC mbili, nili apply kulingana na guide book inavosema ili mtu kupata chuo you must have D's mbili, pia katika taarifa yake kasema kama hatuna vigezo hivo tusiendelee kupoteza muda na pesa zetu. Je ushauri wenu ni upi kwangu? Mwakani mwezi wa sita inabidi nigraduate. Mawazo yenu yanahitajika, pia rejea hii guide book nimetake screenshot sehemu husika ili upate majibu zaidi. Shukrani.
