TCU fifth round opened

TCU fifth round opened

daah asee poleni wakuu ambao mekosa vyuo ombeni tena msikate tamaa ila ushauri wa bure ombeni kozi zenye vipao mbele walau ata mkopo ueleweke inaumiza sana ila ndo TANZANIA YETU HII TUIBADILISHE IKIWEZEKANA
 
wale wa ifm naomba mnijuze hapa...nimechaguliwa hapo Bsc in social protection je registration inaanza lini?
 
Hey hey pay attention jamani TCU ipo kwa ajili yenu hivyo kama kuna mtu yeyote ambaye ameandikiwa selected by tcu hii inamaana tayari ameshachaguliwa na kwa uthibitisho na hilo jina lko lipo tayari ktk chuo husika hivyo USISUBIRI MAra eeee majina ya second batch ,au third au forth batch yatatoka lini Jina lko lipo tayari ktk chuo huska cha kufanya nenda chuoni ukaanze usajili.. kwa kupata join instruction na mambo mengine MKOPO MKOPO MKOPO huu ndo unazingua watu lkn vuteni subra ........USHAURI kama upo mbali na chuo ulichochaguliwa ni wakati wa kuwa karbu nacho lkn pia usisahau kutembelea website ya chuo ulichochaguliwa kupata new information coz i gotta information that udom wameongezewa trhe ya kuripot si tarh ile tna bali ni tarhe 14 novemb na WALE WA 5 round wanangu msikatee tamaa mboni chuo kama kawaida tu .........DEAR TCU WAPE WANAFUNZI HAWA CHUO...............
 
Je kwa wale ambao hawajaaplly kabisa wanaweza kuapply kwa mara ya kwanza au ni kwa wale waliokosa tu?
 
Yes unaweza ila itabidi ufanye juu chini leo au kesho...... ikifka kesho kutwa ukarasa wa tcu unafungwa kwa ajil ya post za five round na watu wapya kama wewe mpaka jtatu
 
Back
Top Bottom