TCU fifth round opened

TCU fifth round opened

Brainiac

Senior Member
Joined
Jan 1, 2012
Posts
165
Reaction score
13
Kwa wale applicants walioapply kwenye fourth round, matokeo yapo tayari katika profile zao, na kwa sasa CAS inafunguka vizuri tu na CAS ipo open kwa fifth round...nawatakia kila la kheri wanaoapply katika Fifth round...!!!
Hii ndo Tanzania
 
Jaman nawashauri wale wote waliokosa angalieni chuo chenye remain capacity nyingi keep it as first priority na bila ya kujali hali angalia na ufaulu wako na fAculty ...........i hope you gotta me*****mboni wote chuo tutaenda inshallah Dear TCU wape vijana chuo kwani walisoma kwa shida ;,,,,
 
Pamoja na kufululiza batch kibao wanapaswa kutoa na taarifa za mikopo kwa wanaopaswa kufika vyuoni jumatatu. Kama hawakopeshi mwaka huu waseme wazazi wauze vyao mapema. Tanzania ina maajabu yake jamani. Nasikitika sana kuona kuna watu watalia dhidi ya utawala wa awamu hii hata kabla haujafanya kazi hata juma moja........
 
Deadline ya hawa fifth round sijui itakuwa ni lini....na vyuo vinakaribia kufunguliwa.
 
Khaaa chuo tarehe 2 ,mkopo haujasoma then huku fifth round daaah
 
Kwa wale wanaotaka transfer si itakuwa balaa. Hizo nafasi zitakuwepo kweli? Mwaka huu tcu kwa kweli wameamua. Dah!
 
mwaka wa majanga huu kufaulu co tket ya kwenda chuo unasugua bench vzur tu
 
Back
Top Bottom