Blank page
JF-Expert Member
- May 28, 2015
- 6,084
- 6,089
1.Vp wakuu mbona mimi cas-tcu inagona kufunguka? Naomb na wengne tujarbu tuone au ni kwangu tu? 2.Official waliochaguliwa udsm majina yametoka katika web yao yaani www.udsm.ac.tz
Kweli haifunguki for this time but wait until next week yatafunguka
wanasema ikizingua dalili ya majina kutoka
Mwenye joining instructions form ya udsm atupie hapa maana link iliopo kwny web inazngua
sasa sisi wa 2round tuliochagua udsm inakuaje hapo,, tusaidiane kwa anayejua
jamani mim mwenyewe naitafuta join instructio ya udsm kama kuna mtu ataipata atujulishe kwan nina shida nayo sana
ulivosema hvo 2 nkausikia uharo unaruka ruka tumboni.wanasema ikizingua dalili ya majina kutoka
ulivosema hvo 2 nkausikia uharo unaruka ruka tumboni.
mimi wa 2nd round mkuu ,na nimechoka sana kukaa kitaa nataman xana chuo ,so nikiona mijadala km hii napata hope.haahaahaa umenifurahisha mkuu
mimi wa 2nd round mkuu ,na nimechoka sana kukaa kitaa nataman xana chuo ,so nikiona mijadala km hii napata hope.
ulivosema hvo 2 nkausikia uharo unaruka ruka tumboni.
Wale tuliochaguliwa mkwawa unversity tuchekiane mie contact yangu ni.....
0753 203 063