Mimi nimepeleka barua yangu TCU jana tarehe 17/8/2015. Nilikua nauliza ma batch mengine yanachukua mda gani kutoka naogopa deadline isije ikapita nikakosa chuo.
Ivi jamani tcu na nacte Kuna uhusiano wowote ndugu zetu maana Kuna jamaa ananiambia ukichaguliwa nacte jina wanatuma tcu je Kuna ukweli wowote wa jf,embu naomba mtujuze wakuu.
NACTE wao wamepewa idadi na TCU ukitaka kuhakikisha hilo wakati unaapply kupitia NACTE utaona sehemu ya corse unayoomba imeandikwa CAPACITY OF Applicant so wao wanashirikiana na TCU.Ukumbuke kuwa vyuo vyote vya kati (doploma&certificate) viko chini ya NACTE wao ndo watambuzi wa hivo vyuo TCU wanavitambua kupitia NACTE.Maombi ya watu wanao maliza certfcate na diploma yanapitshwa na NACTE na si TCU.nadhan nmeeleweka hapo.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.