TCU Account yangu sasa inafunguka

TCU Account yangu sasa inafunguka

Mkuu kutatua hilo tatiz sio kuscan na ku update chet ila nikufuatilia matokeo yao yapo nacte na kama yapo yake yapo sahihi lakin mpka tar 12 sept wakifungua system
 
Hata mm nimeapply juz baada ya system kufungwa ndo nimemaliza applications ila nilifanya registration before deadline sijui wataniconsider au vp mbona system ipo waz nimesoma chet na dip nimeapply degree sijui kama application yangu ipo sawa au vp
1473320893266.jpg
 
Nami nimeapply dgre kwa chet cha diploma naona ipo had I muda huu
 
TCU imetoa tangazo last Friday wamefungua ku accomodate vijana waliokuwa wamekosa kwenye first selection an wengine waliochelewa wafanye application itafungwa tena tarehe 25 September,2016
Yan we kwel hukuelewa lile tangazo walisema watafungua tar 12 mpka tar 25
 
Back
Top Bottom