Hebu tukae mkao wakupokea kitacho jiliHiyo kweliii
UmenenaaaaaHebu tukae mkao wakupokea kitacho jili
Haswaa!Umenenaaaaa
Kama maelezo yake ya upotoshaji je wewe una habari ipi iliyo sahihi utuambie kana kwamba unafanya kazi na akina mama ndalichako na ma afisa wengine wa tcuAcha UPOTOSHAJI..!!!
Kama maelezo yake ya upotoshaji je wewe una habari ipi iliyo sahihi utuambie kana kwamba unafanya kazi na akina mama ndalichako na ma afisa wengine wa tcu
Huu n upotoshaj mkubwa sana.TCU imetoa tangazo last Friday wamefungua ku accomodate vijana waliokuwa wamekosa kwenye first selection an wengine waliochelewa wafanye application itafungwa tena tarehe 25 September,2016
Hapo scan hicho cheti wao ndo wataupdateJamani mi naomba kuuliza mbona nikifungua profile yangu ya tcu naambiwa pale kwenye kuupload vyeti vya diploma naambiwa ni update?na siwezi kuona machaguo yangu hii ina maanisha kuwa maombi hayakukamilika?
wazi kwa maana ipi? kuziona selection zako au kuweza kuadd /kuedit info?Mi nimefungua leo naona system ipo wazi
Kwa maana hyo mkuu..kwa upande wa dip kwenda bachelorwazi kwa maana ipi? kuziona selection zako au kuweza kuadd /kuedit info?