Ngiyemenya
Member
- Aug 11, 2016
- 67
- 32
Habari wadau niemeingia katika profile yangu mda huu naona inafunguka wakati jana walisema system closed sasa sijui vip
HAMNA KITU YAAN KAMA VILE UNATAKA KUAPPLYImefungukaa..?? Ukiview selctn inaoneshajee mkuu
kweli kiongozi we jaribu kuingia utaonaItakua umetumia "funguo Malaya" kwa kimombo "master keys" kuingilia humo TCU.....
Eka screen shot basi tuone.Kwani ilikua haifunguki tatizo ilikua haioneshi selection au wewe imefunguka vipi
Mkuu ukilog in moja kwa moja inakuleta hapo au?
NoMkuu ukilog in moja kwa moja inakuleta hapo au?
UongooTCU imetoa tangazo last Friday wamefungua ku accomodate vijana waliokuwa wamekosa kwenye first selection an wengine waliochelewa wafanye application itafungwa tena tarehe 25 September,2016
Acha UPOTOSHAJI..!!!TCU imetoa tangazo last Friday wamefungua ku accomodate vijana waliokuwa wamekosa kwenye first selection an wengine waliochelewa wafanye application itafungwa tena tarehe 25 September,2016