TCRA yazipiga rungu kampuni za simu

TCRA yazipiga rungu kampuni za simu

rungu tumepigwa sisi watumiaji wao wanatuwakilisha tu, wanapigwa wao ila maumivu na ngeu tutapata sie
 
Fain zote ila mwisho wa ziku malengo ya budget ya Taifa hayazidi 60%

Sent from my SM-G950F using JamiiForums mobile app
 
Mwananchi.PNG
Mwananchi one.PNG

Chanzo: Mwananchi
 
Ebana kuna faini za hatari sana.kuna watu watalipa hadi bilioni mbili hivi au kasoro kidogo

Sent from my SM-J110H using JamiiForums mobile app
 
Ukikuta umekatwa salio kwenye simu bila kutarajia ujue unalsaidia kulipa hizo faini
 
Lazima mapato ya Serikal mwez huu yapande ukizingatia ndo katikat ya mwez

Sent from my TECNO-W5 using JamiiForums mobile app
 
41263efa324a8ef7e7f7658f7c8ccf97.jpg


Sent from my SM-G532F using JamiiForums mobile app
 
Tena wangepigwa kila mwezi maana haiwezekani mtu anatapeli kwa kutumia line ya mtandao fulani unamripoti kwenye mtandao husika alafu wanashindwa kumfatilia hata kwa mtego mdogo tu....ndio amesajili kimagumashi kwanini tusimkamate wakati anakwenda kwa wakala kutoa hiyo pesa? Hii maana yake nikwamba wapigaji niwatu wao walikua wanawalinda
 
tena kama voda natamani wanagewafungia hata mwezi wamezidi wizi cjui TCRA hawapati malalamiko ya huu wizi kwa wateja izo fine zote tunalipa cc
 
Wapigwe tu. Wanatuibia kila siku
 
Dar es Salaam. Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) imezitoza faini kampuni zote za simu kwa kusajili laini bila vitambulisho na kutofuata utaratibu.

Kampuni zilizotozwa faini hiyo na kiwango kikiwa kwenye mabano ni Airtel (Sh1.08 bilioni), Smart (Sh1.3 bilioni), Vodacom (Sh945 milioni), Zantel (Sh105 milioni) na Halotel (Sh1.6 bilioni).

Mkurugenzi wa TCRA, Mhandisi James Kilaba amesema leo (Julai 14) kuwa hii si mara ya kwanza kwa watoa huduma hao kukiuka sheria.

Kiliba amesema kutokana na kurudia kosa hilo, TCRA imezitoza kampuni hizo faini ambazo Airtel imetozwa Sh542 milioni, Smart (Sh37 milioni), Tigo (Sh625 milioni), Zantel (Sh52 milioni) na Halotel (Sh822 milioni).

Pia, kampuni hizo zimetozwa Sh500 milioni kila moja kwa kosa la kuathiri na kuhatarisha usalama wa umma na jamii ya Watanzania kwa kusajili laini bila kufuata utaratibu.

Chanzo: Mwananchi
ndio maana halotel wamepunguza bando na muda wa maongezi

kumbe tunalipia faini waliopigwa
 
Hela ndogo sana hiyo kwa kampun za simu

May Allah bless Me and You
 
Back
Top Bottom