Mm nimefanikiwa kuwadukuwa mkuuDawa ya hawa star times ni kuwadukua tu na sisi tuangalie bure. Kwanza nilisikia hawalipi Kodi
Aisee! Kwahiyo itabidi tusubiri mpaka mwaka 2020.Naamini ingekua muda wa uchaguzi umekaribia,hakika TCRA ingefanya kila njia hadi wenye ving'amuzi waachie chanels za ndani kuonekana.
Hapa ndipo penye hoja ya msingi, vingine ni blah blah tu. Yaani wao wauziwe alafu waoneshe bure? Nawaunga mkono star timesNilisha wahi wauliza startimes wakasema haiwezekani wao walipie local Chanel afu wafanye bure kuzionesha so wataendelea kuziuza, nadhani kunatatizo some where.
Kama kada, hiyo channel ni bora sana kwako!Dah aisee napata wakati mgumu sana kuielewa kauli ya TCRA. Kutokana na vyuma kukaza kutokana na kauli ile niliamua nisinunue vifurushi niangalie local Chanel tu bure, kifurushi cha awali kilipoisha nikaachiwa TBC1 tu.