C CHUAKACHARA JF-Expert Member Joined Jun 3, 2011 Posts 12,388 Reaction score 6,482 Dec 7, 2011 #1 TCRA, tafadhali chunguza yanayolalamikiwa na wateja kuhusu tigo humu jamvini.
Shark JF-Expert Member Joined Jan 25, 2010 Posts 29,986 Reaction score 30,180 Dec 7, 2011 #2 Kusema ukweli tumelalamika sana juu ya huu mtandao, Kukaa kwao kimya ni dalili kua wametudharau wateja wao.
Kusema ukweli tumelalamika sana juu ya huu mtandao, Kukaa kwao kimya ni dalili kua wametudharau wateja wao.