Kuchwizzy
JF-Expert Member
- Oct 1, 2019
- 1,204
- 2,639
Tuki entertain upuuzi kama huu, tutaua hata hiki kidogo tulichonacho kwenye tech.....
Sijajua kwanini watu wamekua kimya kwenye hiki kitu, lakini ni moja kati ya policy ya kipuuzi kuwahi kutolewa na taasisi yenye mamlaka kama TCRA
Nawa hakikishieni kwa 100% watu walionyuma ya hii policy, hawajui chochote kuhusu jinsi Internet, modern software system, APIs na global digital market inavyofanya kazi...
1. Domain names are identifiers not control points
Domain name ni routing label tu kwenye DNS servers, hai determine nani ana host hio service, nani ana control data au flow ya internet traffic, ku force kila mtu atumie country code kama top level domain haikupi regulatory oversight ya namna yoyote ile
Control ya digital services inawezekana kwenye servers, payment rails, identity systems, na contracts, sio kwenye DNS suffix
Hii sheria ina target wrong layer of the stack...narudia watu walio nyuma ya hii policy, hawajui chochote kuhusu wanachotaka kufanya
2. Breaking existing systems & Integration
System nyingi zipo tightly coupled to their domain names kwenye layers nyingi:
OAuth redirect URIs
API allowlists
TLS certificates
Mobile app deep links
Webhooks
Third party service integrations
SEO indexing and reputation scores
kote huko, kuwambie watu wa change domains zao, sio kitu rahisi kama ku change username ya mtandao wa kijamii, ku change domain sio cosmetic update
kwa system kubwa na za mda mrefu ni technical na security nightmare
Taasisi au kampuni kubwa zinaweza absorb cost na hasara ya hio update, kampuni ndogo haziwezi
3 Conflict with global platform constraints
Domain names zenye country code kuna mda huwa zina face restrictions ya verification au approval kutoka kwenye platform kubwa , mfano
App store callback verification
Email deliverability and spam scoring
CDN and DDoS protection onboarding
Payment processor domain vetting
Hii mandate ina force local actors waingie kwenye unnecessary friction na platform ambazo hawawezi kuzi control
4. Artificial scarcity and rent seeking
Hapa TCRA wanataka wawe single registry wa domains zote
Hii inafanya domain name kuwa regulatory toll badala ya marketing choice
5. Misalignment with internet governance norms
Hakuna, nchi yoyote ile serious inayoweza kuja na upuuzi kama huu
The global internet evolved on principles of voluntary adoption, interoperability, and competition. No serious digital economy mandates a national top level domain as a condition for online activity
Nchi zenye watu wenye akili timamu huwa zina focus kwenye
Data protection laws, Consumer protection, Tax compliance, Infrastructure investment, Skills development
TCRA inge focus hapo badala ya policy za hovyo kama hizi, narudi tena walio nyuma ya hii policy sio watu wanaojua chochote kuhusu Tech
6.Negative signal to investors and builders
Mandating technical choices by law signals unpredictability. Investors and engineers interpret this as regulatory risk.
Software systems zina scale by reuse, standardization, and global compatibility. A rule that forces local divergence without technical justification signals that future arbitrary constraints are likely.
Capital na watu wenye talents huwa zina avoid kuweka nguvu zao kwenye nchi za namna hii ambayo sheria inawezwa wekwa arbitrary bila kuwa na mahusiano yoyote na uhalisia
7. Penalties disconnected from technical reality
Imposing fines and prison terms for domain noncompliance ignores how digital systems are actually built and operated. Many organizations run multiple domains for valid reasons such as brand protection, redundancy, and regional optimization.
Criminalizing architectural decisions is not governance. It is coercion applied to a domain where flexibility is essential.
Imagine unapelekwa jela kwasababu uliamua kuchagua .com ku target global market badala ya .tz
Tusiwe laughing stock ya dunia, TCRA i focus kwenye vitu vya msingi, hii ni taasisi muhimu sana kwenye nchi, tusiruhusu darasa la saba watunge policy zitakazo affect technical decision
Sehemu hatari zaidi ya hii mandate ni hio karibu.tz
Wao wanataka wawe na Monopoly ya domain names registration ya nchi nzima
Monopoly siku zote inaua competition, inaongeza price
Pia inafanya censorship iwe rahisi sana na itaenda kuwa na effects kwenye upatikanaji wa huduma nyingi za kidigital
Systems nyingi kwenye internet zipo tightly coupled, uki revoke access ya doman moja kwasababu haija kidhii kigezo A au B, uta athiri upatikanaji wa service kibao zinazo rely kwenye hio domain
Hii ni sheria ni ya kupuuzwa na kuondolewa haraka sana