only in tanzania.. Sasa wataanza lini?
mbona sijaelewa!
Mkuu it is not only in Tanzania. Hii kitu inaitwa Number Portability nchi kibao wanafanya mkuu
hawana maana kabisa hawa tcra kazi kudanganya tu, hadi sasa wameshindwa kuweka king'amuzi(decoder) kimoja na sasa watumiaji wamejaza ving'amuzi wasitudanganye pia kwa hilionly in tanzania.. Sasa wataanza lini?
Itakuwa nzuri ikiwa gharama zitakuwa sawa kwa mitandao yote. Maswali yangu ni 1.inanza lini hii mambo? 2. Ukitaka kubadili mtandao itakuwaje?
pole mama, si ndo karne mpya ati! Anyway wakuu, ina maana simu double line (achilia mbali triple na quadro) hazima maana tena? Mchina ndo anauliwa soko na mzungu ama? Na usajili ni vipi, maana naona sijasoma vizuri huu mchezo.Jamani unajua kwa mzee kama mimi tuende taratibu,ndo kwanza najifunza visimu vipya,na digitally sasa tena hii,jamani vijana taratibu ntakuwa nasoma kila siku?