TCRA washughulikieni Halotel

Ni uamuzi tu wa kampuni TCRA haiwezi ingilia biashara ya watu ukizingatia hili ni soko huria hawajavunja kanuni za biashara
 
Karibu halotel mtandao wenye kasi ya 6G ha ha ha yaani ukiwa na halotel unapiga simu za video bila kunasa hadi raha kama niko USA vile
 
holotel ndo mpango mzima acha tufaidike sasa km tigo na voda wnatuibia tufanyaje
Halotel mtandao wa kijanja sana,akielewal ataacha, hapo ukute anatumia mtandao wa halotel ila chuki binafsi na roho ya kwanini.huyu ni kama waziri
s.muhongo.
 
Wewe bwege kweli mtoa post! Cc tunainjoy. Wewe unaleta kauzibe mama Wewe fisadi ni Wewe,endelea na voda yako.
 
Kwani izo bundle za chuo wanajiunga bure hadi uwachongee kwa TCRA? Kweli watu weusi tuna safari ndefu sana dolnad trump inabidi alishughulikie kidhabiti hili bara letu
 
Halotel Ina Wafuasi wengi Kumbe Ambao Wengi Wao Ni Maskini Wa Kutupwa Ambao Wanadoea Bando Za Wanafunzi.
 
Mkuda tuuuu kwani we unapata hasara gani pambaf zakooooo
 
Wananchi kutumia bando za chuo haikwepeki hata kidogo.

Kwa wale wa dar ndo wanafaidi zaidi. Ukifika Mawasiliano unapotoka kwny batabara kuu kuingia kituoni unaunga kifurushi cha chuo tigo.

Ukifika Chuo cha TIA nje kuna kituo cha daladala raia wanaunga kifurushi.

Ukifika DUCE pia raia wanaunga.

Acha raia wafaidi.

Zaidi ongelea Halotel kuhusu simu zao feki ambazo IMEI hazioani na simu.
 
Hivi wajua ujanja wa business kuwaondoa wanyonge katika soko? unafikiri biashara ni lele mama? kalaghabaho!! lengo ni ku win mlaji at any cost!!
 
Si na hao wengine unaowapigia debe washushe? kwani shida iko wapi kushusha ili upate wateja zaidi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…