Wadau Juzi ya Jana..,TCRA walitoa tamko la kutaka Star TV irejee Star Times Mara moja tena kufikia saa kumi jioni, cha kushagaza mpaka kufikia leo Star TV hatuioni..,nafikiri nikisema TCRA wameshikwa Masikio sitang'olewa Jino wala Kucha..
mmmh mapya haya....nasikia wenye king'amuzi cha sasa hivi chenye antena kama ya zuku ndo wanaipata, ila wenye ving'amuzi vya zamani hawaioni mmmh! si cha kike hiki loh!!!!!!!!!!! TCRA kubalini mliingizwa chochoooo
Wadau Juzi ya Jana..,TCRA walitoa tamko la kutaka Star TV irejee Star Times Mara moja tena kufikia saa kumi jioni, cha kushagaza mpaka kufikia leo Star TV hatuioni..,nafikiri nikisema TCRA wameshikwa Masikio sitang'olewa Jino wala Kucha..
Kuna ufisadi mkubwa unaofanyika kati ya tcra na startimes, nipo naandaa report anytime ntaibwaga ikiwa na ushaidi wa majina.Na ndiyo maana wameshindwa kumwinukia anton diallo.Wanajua wana&walichokifanya.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.