TCRA wamebariki chanel za ndani kufungiwa Watanzania?

Wakuu hapa naona kama hili jambo halipo sawa hivi inakuwaje chanel za ndani kutokuonekana ktk ving'amuzi vyetu wanataka zilipiwe ili hali serikali ilishasema chanel za ndani ni bure?

Ina maana mabwenyenye washaizidi nguvu serikali wanajiamulia vile ambavyo wanataka wao? Bando ni tatizo na ving'amuzi navyo tatizo sasa hawa TCRA majukumu yao ni yapi?

Mtanzania hana nafuu kwenye nchi yake kila mahali ni matatizo tu.

Sasa hapa nani muongo kati ya serikali na warusha matangazo?

Waziri husika yupo kweli ktk hii nchi?
Ukiendelea kuangalia channels za ndani unalishwa ujinga mkubwa sana.

Nina mwaka wa 7 sijui cha ITV, TBC, Channel Ten, Azam TV na takataka zake!
 
Wakuu hapa naona kama hili jambo halipo sawa hivi inakuwaje chanel za ndani kutokuonekana ktk ving'amuzi vyetu wanataka zilipiwe ili hali serikali ilishasema chanel za ndani ni bure?

Ina maana mabwenyenye washaizidi nguvu serikali wanajiamulia vile ambavyo wanataka wao? Bando ni tatizo na ving'amuzi navyo tatizo sasa hawa TCRA majukumu yao ni yapi?

Mtanzania hana nafuu kwenye nchi yake kila mahali ni matatizo tu.

Sasa hapa nani muongo kati ya serikali na warusha matangazo?

Waziri husika yupo kweli ktk hii nchi?
Azam tv mbona free
 
Dstv wanatamaa sana hawa kenge
Dstv na Vodacom wana gharama mara mbili kuliko hata kwao na huko wanatupiga sana maana tunajifanya tuna mpunga nakumbuka kipindi cha Corona watu baada ya kushinda majumbani huku SA ilibidi raia wapige kelele kuwa mbona wanalipia vifurushi bei ghari harafu hakuna cha maana na wao wamejua hilo baada ya kuwa majumbani kwa muda mrefu wakaanza kutoa bonus haikusaidia mpaka wakaja kushusha bei ila huko ni sehemu ya kuiba tuu watu hawapigi kelele wakiamini wakipiga kelele wataambiwa nenda Azam hii sio Level yako kumbe ni Ujinga tuu Value for money haipo Dstv...
 
Kweli mkuu
 
Wakuu hapa naona kama hili jambo halipo sawa hivi inakuwaje chanel za ndani kutokuonekana ktk ving'amuzi vyetu wanataka zilipiwe ili hali serikali ilishasema chanel za ndani ni bure?

Ina maana mabwenyenye washaizidi nguvu serikali wanajiamulia vile ambavyo wanataka wao? Bando ni tatizo na ving'amuzi navyo tatizo sasa hawa TCRA majukumu yao ni yapi?

Mtanzania hana nafuu kwenye nchi yake kila mahali ni matatizo tu.

Sasa hapa nani muongo kati ya serikali na warusha matangazo?

Waziri husika yupo kweli ktk hii nchi?

Wahuni hawataishaaa
 
Back
Top Bottom