dronedrake
JF-Expert Member
- Dec 25, 2013
- 24,803
- 61,649
😂 😂 😂 😂 😂 😂 🤣 🤣weka mkono wako wa kulia kifuani halafu sema kwa nguvu "mimi ni mjinga, sistahili kua binadamu, nastahili kua panya maana akili yangu ni sawa na panya"
😂 😂 😂 😂 😂 😂 🤣 🤣weka mkono wako wa kulia kifuani halafu sema kwa nguvu "mimi ni mjinga, sistahili kua binadamu, nastahili kua panya maana akili yangu ni sawa na panya"
Rudi Nyumbani Kumenoga
Kwa wenzetu wa dunia ya kwanza ushindani wa biashara kati ya kampuni za simu ungekuwa katika kuboresha huduma zao lakini hapa wanashindana kwa kumwibia mteja!
TCRA kazi yao ni kusimamia dhuluma na udukuzi wa raia.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mimi huwa natumia vizuri tu hicho kifurushi cha 1500 na lengo langu linatimia. Hapo shida ipo kwako huenda uwezo wa simu yako halotel bado ipo vizuri mno.
Aisee hawa jamaa kuna siku nimejiunga 1gb ndani ya sekunde zisizozidi 40 wameimaliza yote, nilipowapigia huduma kwa wateja wakanambia eti "tayari umeshatumia", nikawauliza nimefanyia nini maana nyie mnaona huko wapi nilitembelea na kupakua chochote!? Na nikawauliza, ina maana nyie siku hizi mna kasi ya 10G+ mpaka iwe chini ya dakika tayari imeshashusha/kupakua file lenye ukubwa wa 1gb!? Nikakosa majibu nikaambiwa tu tatizo lako limewasilishwa kwa wahusika watalifanyia kazi lakini kimya.
Mpaka leo sinunui vifurushi vya zaidi ya buku ili hata wakinifanyia uhuni isiniume sana.
Sent using Jamii Forums mobile app