hii kwakwel imekuwa kero mno, najiulizaga ivi izi meseji za kijinga hata Rais Kwenye Simu yake huwa zinamfikia au Waziri husika, yaan ni kalaa, ukituma neno Ondoa au stop bado zinakuja toka namba 15571 na namba zingine,aswa tigo ndo wanaongoza Kwa huo ujinga wakifuatiwa na voda

Na kuna haya matangazo ya simulizi, Unasikia mlio wa simu kuita, Unadhani pengine ni simu ya biashara, unapokea unakutana na simulizi, Inakera kwa kweli.So embarrassing!! Yaani wangetupa sisi walaji option ya kukubali na kukataa
Na kuna haya matangazo ya simulizi, Unasikia mlio wa simu kuita, Unadhani pengine ni simu ya biashara, unapokea unakutana na simulizi, Inakera kwa kweli.
Kujitoa na huduma ya VODAGAMES tuma UNSUB kwenda 15362
nimejaa teleeUpo bibie?
Unajitoa kwani nilijiunga yani sms zinakuja tu so boringKujitoa na huduma ya VODAGAMES tuma UNSUB kwenda 15362