tutafikatu
JF-Expert Member
- Dec 17, 2011
- 3,307
- 4,585
Hata kama mimi ni mteja wa kampuni fulani ya simu, kampuni hiyo haina haki ya kunipa tangazo lake la biashara kwa sauti au maneno (sms) bila ridhaa yangu. Ni muhimu kuwe na option ya kuchagua kupokea matangazo ya biashara ya simu au la, hii ni pamoja na offer za kampuni za simu.
Kuna wakati wapiga simu ya muhimu, mara wasikia tangazo refu, halafu mwisho unaambiwa namba unayopiga haipatikani. Kuna wakati unapigiwa simu na namba usiyoijua, mara wasikia tangazo la offer za simu. Pia kuna sms za kuibia watu kama umechaguliwa kujishindia million 100.
TCRA tazameni hilo.