Kennedy
Platinum Member
- Dec 28, 2011
- 62,925
- 77,190
Wana badi salam.
Kwasasa makampuni ya simu yana huduma
nyingi za kupiga simu wao wakidai ni bei
nafuu ingawa naona kama ni ujanja tu.
Napenda kuzungumzia kama si.Nchi nzima
basi baadhi ya Mikoa,unaponunua huduma
za Cheka/Tigo extreme basi ghafla mtandao
haupatikani ama simu hazitoki.
Mpaka mwisho wa hiyo huduma kama
ni saa kumi na mbili ndiyo mambo yanakuwa sawa. Ukizingatia ule muda hujautumia kabisa
TCRA mnalijua hili lakini wala hatuoni msaada
wenu wowote,kwanini siku inayofuata mteja
asirudishiwa muda wake.
TCRA njooni mnipe ufafanuzi maana tunaibiwa
nanyi mpo.