TCRA: No. hii inaibia wateja +881842011294. Ifungieni!!

Master jay

Senior Member
May 28, 2012
194
29
hiyo namba ilinibeep kwa mara ya kwanza tar 8/08/2012, usiku nikahis ni namba ya nje. Kesho yake nikaweka vocha, kupiga nikasikia maelekezo ya kiswahili nkakata hapo sababu muda huo huo sim ilikuwa imepiga alam ya kuisha ela. Nilikuwa nimeweka buku na hazikuisha sekunde 4. Jana tena saa mbili usiku imenibeep tena. Nikaipotezea. Wana jf epukanane na hiyo namba ni HATARI. Nina tabia ya mtu akinitumia ela kwa simu huwa naziacha tu mpaka ziwe nyingi ndo nitoe, ila nimezitoa zote kabla hawa wezi wa mtandaoni hawajaruka nazo. +881842011294 wizi mtupu.
 
Mbona nimeipiga haipatikani?
 
Hata mimi jana mida hiyo hiyo ilinicheck online,ni mara ya pili sasa! Ila hiyo namba uki i google inakupa jibu kuwa na satellite mobile number sjui nini nini, hapa ndo wizi utakapotokea aisee
 
Ukiipiga tu itatrace namba yako ya simu alafu information zako zote zinakwenda huko mpaka mambo ya password!
 
Hata mimi jana mida hiyo hiyo ilinicheck online,ni mara ya pili sasa! Ila hiyo namba uki i google inakupa jibu kuwa na satellite mobile number sjui nini nini, hapa ndo wizi utakapotokea aisee

mmmmm....mjini shule tutafika unakuja na jembe mjini??? unataka kila lami?? hiyo ni ajira ya watu kama yule bigwa ilekua anauza UMEME pale hayo ni mambo ya jiji
 
hata mimi juzi imenibp ila sikupga ni ka igoogle nikaambiwa ni 881 ni code ya simu znazopgwa via satelite halafu sehemu nyingne niakona kwamba hiyo number ni ya ma hoax fraud so take care msije ibiwa
 
Nyingine hii hapa 882132200444 ilinibeep 02/08 nilivyo google nikaona ni fraud number na inapigwa through satelite pia
 
sasa nyie mnasema mnapigiwa mshawahi jiuliza wamezipataje namba zenu? Kuna kitu lazma mtakua mpo unique either kuna huduma flan mmejiunga au site flan mlivisit na simu ambao hao ndo wanakusanya hizo namba na kuzitumia better mueke wazi tumjue mchawi ni nani
 
TCRA hawawezi kuifungia maana ziko online na zimesajiliwa kwenye internet zingine kwenye satelite....ni hatari sana hao jamaa
 
Back
Top Bottom