TCRA na usanii kwa wenye ving'amuzi

TCRA na usanii kwa wenye ving'amuzi

Yaani wamejuwa wanatakiwa kuonyesha bure sasa StarTimes Tanzania wanafanya utapeli wa kutoza tena, tozo juu ya tozo! Kwa kweli TCRA hawana meno, subiri MD akitumbuliwa utakisikia atavyolalamika! Kumbe hayasikii wala kufuatilia mambo kama haya!
Mkuu @startimes walishaleta uzi wao humu wakatoa maelezo juu ya kupata channel za bure walisema unatakiwa uende ofisini kwao na hicho king'amuzi chako cha awali pamoja na sh 55,000 wakupe king'amuzi kipya yaani utakuwa umeupgrade ndo utaweza kuona hizo channel za bure
 
Back
Top Bottom