jaribu kubadili line uone kama tatizo ni line zote,yeah, zinafanana!!
jaribu kubadili line uone kama tatizo ni line zote,
Nimejaribu line zote!!!.. yani nahisi nimejaribu kila niwezacho, nikaona may be ni custom ROM niliyoweka, nikadownload Official Lollipop ROM nikainstall via Odin, kamchezo bado hako hako!jaribu kubadili line uone kama tatizo ni line zote,
Kwa uzoefu kidogo 4G pekee yake haiwezi kupiga simu wala sms so badili settings iwe auto kwenye data mkuu
Kwa uzoefu kidogo 4G pekee yake haiwezi kupiga simu wala sms so badili settings iwe auto kwenye data mkuu
Issue kubwa hapa kaka ni kwamba, haishiki network, nikienda kwenye mobile network settings, nikachagua mobile operators, zinakuja zote as usual, nikichagua, haifanyi network registration!!!!..Kwa uzoefu kidogo 4G pekee yake haiwezi kupiga simu wala sms so badili settings iwe auto kwenye data mkuu
Nikwambie kitu, hio simu kwa maana ya simu huwa zinakuaga za sample, hebu ngoja nimuite Mkuu aje hapa aelezee vizuri mshana jr huwa inaonekana kila kitu ni simu kabisa ila huwezi kupiga simu.... ni simu za displayNaufuatilia vizuri huu uzi MI yamenikuta network hakuna Ila Internet katika simu hiyo hiyo naingia kwa kutumia WIFI mpaka app na download katika Google play. Japo napata wakati mgumu kukubali kama nimefungiwa
simu za display aka demo haziingii internet labda wifi, hii inaingia na lineNikwambie kitu, hio simu kwa maana ya simu huwa zinakuaga za sample, hebu ngoja nimuite Mkuu aje hapa aelezee vizuri mshana jr huwa inaonekana kila kitu ni simu kabisa ila huwezi kupiga simu.... ni simu za display
Yes ni kweli unachoongea, unapata internet kwa Wi-Fisimu za display aka demo haziingii internet labda wifi, hii inaingia na line
MI simu yangu line inaingia ndo niliyokuwa naitumia kwa Internet Lakin ghafla nakuta NO SERVICE. Nikiweka line naandikiwa AIRTEL - NO SERVICEYes ni kweli unachoongea, unapata internet kwa Wi-Fi
umwambie pia akidakwa ni milioni 10imei ya simu yako hipo kwenye black list ambapo kwa mamlaka haitambuliki kupata kibali.unacho takiwa kufanya ubadilishe imei kwa siri ili kuweza kutambulisha