Mm hiyo number wala message haiendi mda sasa, hata nikiwa na credit.Mmekuwa mkitutaarifu kutoa taarifa kwenu kila tunapopokea message za utapeli kupitia namba yenu 15040.
Nimekuwa nikiwatumia namba hizo za utapeli nami kuweka kumbukumbu.
Tarehe 11 Apr 2025 nililipoti namba 0615656151 kuhusika na utapeli, cha ajabu Leo tena namba hiyo hiyo 0615656151 bado iko hewani imenitumia message tena ya kitapeli. Nauliza inakuaje bado iyo namba bado inaendelea kuliza watu?
Inawezekana maana Kama umesharipoti iweje namba hiyo hiyo iendelee kuwa hewani na kuendelea na utapeliTCRA ndio wahusika wakamatwe
Kuna haja gani ya wao kuwepo katika ajira kama wanashindwa kufanya kazi yao? Waondoke wawaachie Polisi waendelee na hii kazi ya kuwatafuta matapeli hao.Hakuna kitu wanafanya hao jamaa ,wanakula mishahara ya bure tu.Mimi nilishawapa namba nikaamua kuwapigia kabisa.Wakanishauri niipeleke hiyo namba polisi.
Kweli mambo ni magumu.. Mpaka wasukuma wameanza kutapeli
Pia wanatumwa SMS Kwa tutakutaarifu uchunguzi ukikamilika, wanaingia mitini,jumla!Mmekuwa mkitutaarifu kutoa taarifa kwenu kila tunapopokea message za utapeli kupitia namba yenu 15040.