TCRA Mmeshindwa kuzuia wizi unaofanywa na kampuni za simu kwa wateja wake ama na nyie mmeamua kuubariki

Vitu hivi nimeachana navyo nina kama miaka 5:
1. Kukwangua vocha.
2. Kuweka salio la kawaida.
3. Sina app yoyote ya kampuni za mawasiliano.

App niliyonayo ni crdb bank. Hii ndio kila kitu kwangu kwani ndio nafanyia utilities bills zooote:
1. LUKU
2. DAWASCO
3. DSTV/AZAM TV/STARTIMES
4. Vifurushi vya mitandao ya simu.

Dunia imeshakuwa ya kidigitali hii, usipoenda na uelekeo wa upepo utapeperushwa.
Unforgetable

Dah, wewe ni mimi kabisa. Mimi sijawahi hata siku moja kununua vocha. Na malipo yangu yote nafanyia kidigitali.

Tofauti yangu na yako ni moja tu, siridhishwi kabisa na huduma za CRDB.
 
Wakuu poleni na hili janga la Corona ni mda kidogo nilipotea humu hali yangu kiafya haikuwa nzuri kidogo,tuendelee kuchukua hatua stahiki za kujilinda na kuwalinda wengine,Si mzaha Corona ipo takribani siku 15 mpaka juzi zilikuwa siku za kifo kwangu hakika malaika wa mungu walikuwa upande wangu kwa Sasa hali yangu inatengamaa japo kwa taratibu

Turudi kwenye mada, Nikiri wazi hizi kampuni za mitandao ( Vodacom, Tigo, halotel na Airtel) wanatuibia sana sisi wateja wake nadhani ni kwa sababu ya ubovu na udhaifu wa taasisi zetu zinazohusika mimi natumia mitandao hii yote nitatoa mfano kidogo ambao kwangu umekuwa tatizo sugu kwa hii mitandao yote kila mara.

Nilikuwa naumwa na mda mwingi nilikuwa napigiwa kazi yangu ilikuwa kupokea pale ninapokuwa na unafuu wa kufanya hivo, Leo nilikuwa nina unafuu kidogo nikaomba nitumiwe vocha ya Tsh 10,000/= ya Vodacom ili nifanye mawasiliano nikatumiwa ilikuwa mida ya saa7 mchana kwa vile mwili ulikuwa umechoka baada ya kuhakikisha salio limeingia niliacha simu nikaendelea kupumzika nikiwa nimelala.

Saa 12 jioni naamka najiunga kifurushi Cha kiasi cha salio nililonalo naambiwa salio halitoshi na Sina deni lolote kuangalia salio nakuta Tsh 1,300/= imekatwa imebaki Tsh 8,700/= na sijajiunga na huduma yoyote ya makato ya pesa iwe kwa siku au kwa mwezi na simu yangu naishika Mimi tu , Ikabidi niwapigie simu Vodacom huduma kwa wateja nikiwa mkali kwelikweli.

Wamenijibu upuuzi sana, eti nimejiunga na huduma zaidi ya saba wakaniorodhoshea sijui hadithi, Mpesa app, na madubashwa mengine ya kipuuzi ambayo wametumia Kama kigezo Cha kuhalalisha wizi wao Cha kushangaza sijawahi kutumia hizo huduma hata siku moja nimeishia kumtukana yule dada wa huduma kwa wateja mpaka ikamlazimu akate simu na baada ya kukata zikaingia meseji kibao kwenye simu yangu zikionesha huduma nilizojiunga na kiasi cha pesa nilichokatwa kwa kila huduma na OPTION ya kujiondoa hapa wamenipiga changa la macho Baada ya kuwasiliana nao ili ionekane nimejiunga na nilikuwa natumia hizi huduma.

Hii kwangu sio mara ya kwanza, nilishawahi kuacha kuweka salio kwenye line ya Tigo kwa ajili ya upuuzi huu, nikahamia Airtel nako nikakuta huu upuuzi upo na si mara moja ni kila mara pale unapoweka salio na ukakaa mda mrefu bila kulitumia au kujiunga kifurushi kwa kiasi chote Cha salio kilichopo kwenye simu otherwise lazma kikombwe.

SWALI LANGU KWENU TCRA, ni kweli mmeshindwa kuzuia wizi unaofanyika kwenye hii mitandao? Pamoja na kwamba kumekuwa na malalamiko mengi dhidi ya wizi unaofanywa na hii mitandao kwenye account za wateja za pesa kwenye line au salio bila idhini yao mbona hamchukui hatua? nini wajibu wenu kwenye kumlinda mlaji dhidi ya uhuni wa hii mitandao au mpaka tuwaandikie kwa barua?

Hata pamoja na kusajili kwa alama za vidole, mmeshindwa kuwadhibiti hata wale wa tuma kwenye namba hii? TCRA mna miundombinu mizuri na ya kisasa kabisa na wafanyakazi wenu mnaajiri wale Division one/ first Class tatizo kwenu ni nini?

Tuchukueni hatua hii mitandao inatengeneza pesa nyingi kwenye huu wizi halafu wanarudi kuwapa hizo pesa kwa mgongo wa gawio ama misaada kwa jamii na nyie mnawachekea, wakati huu ni utakatishaji pesa kabisa.

N:B
Kuna member humu alianzisha uzi wa kusudio la kuzishtaki hizi kampuni amefikiwa wapi ili tumuunge mkono maana hawa jamaa ni wapuuzi sana

Sent using Jamii Forums mobile app
Jiunge moja kwa moja kwa kutumia tigopesa usitumie salio

Hatua za kujiunga ni hizo hizo kama kawaida ila kwenye kulipia bando huwa kuna option ya kulipia kwa salio na option ya kulipia kupitia tigopesa. Ukichagua kulipia kwa tigopesa pesa inakatwa hukohuko bila hata kununua muda wa maongezi
 
Unatumia bank gani chief, tushtuane palipo na unafuu.
Unforgetable
 
Huduma za data lipo tatizo kubwa. Binafsi pamoja na ku disable background data ,kifurushi kinakata kabla kufikia kiwango nilichonunua(Nimeinstall data usage app kujua matumizi ya data).Tafadhalini mamalaka husika chunguzeni hili, tunaibiwa. Pili kampuni zilazimishwe kusitisha data usage pindi kiwango cha bundle kimeisha badala ya kutumia salio la pesa for internet kwa tarrif ya ghali mno.
 
Kabisa mkuu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Jiunge moja kwa moja kwa kutumia tigopesa usitumie salio

Hatua za kujiunga ni hizo hizo kama kawaida ila kwenye kulipia bando huwa kuna option ya kulipia kwa salio na option ya kulipia kupitia tigopesa. Ukichagua kulipia kwa tigopesa pesa inakatwa hukohuko bila hata kununua muda wa maongezi
Huyu jamaa alitumiwa salio elewa mkuu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kama hujakutana na hii changamoto basi huwezi elewa ni kiasi gani huwa inaumiza
Wakuu poleni na hili janga la Corona ni mda kidogo nilipotea humu hali yangu kiafya haikuwa nzuri kidogo,tuendelee kuchukua hatua stahiki za kujilinda na kuwalinda wengine,Si mzaha Corona ipo takribani siku 15 mpaka juzi zilikuwa siku za kifo kwangu hakika malaika wa mungu walikuwa upande wangu kwa Sasa hali yangu inatengamaa japo kwa taratibu

Turudi kwenye mada, Nikiri wazi hizi kampuni za mitandao ( Vodacom, Tigo, halotel na Airtel) wanatuibia sana sisi wateja wake nadhani ni kwa sababu ya ubovu na udhaifu wa taasisi zetu zinazohusika mimi natumia mitandao hii yote nitatoa mfano kidogo ambao kwangu umekuwa tatizo sugu kwa hii mitandao yote kila mara.

Nilikuwa naumwa na mda mwingi nilikuwa napigiwa kazi yangu ilikuwa kupokea pale ninapokuwa na unafuu wa kufanya hivo, Leo nilikuwa nina unafuu kidogo nikaomba nitumiwe vocha ya Tsh 10,000/= ya Vodacom ili nifanye mawasiliano nikatumiwa ilikuwa mida ya saa7 mchana kwa vile mwili ulikuwa umechoka baada ya kuhakikisha salio limeingia niliacha simu nikaendelea kupumzika nikiwa nimelala.

Saa 12 jioni naamka najiunga kifurushi Cha kiasi cha salio nililonalo naambiwa salio halitoshi na Sina deni lolote kuangalia salio nakuta Tsh 1,300/= imekatwa imebaki Tsh 8,700/= na sijajiunga na huduma yoyote ya makato ya pesa iwe kwa siku au kwa mwezi na simu yangu naishika Mimi tu , Ikabidi niwapigie simu Vodacom huduma kwa wateja nikiwa mkali kwelikweli.

Wamenijibu upuuzi sana, eti nimejiunga na huduma zaidi ya saba wakaniorodhoshea sijui hadithi, Mpesa app, na madubashwa mengine ya kipuuzi ambayo wametumia Kama kigezo Cha kuhalalisha wizi wao Cha kushangaza sijawahi kutumia hizo huduma hata siku moja nimeishia kumtukana yule dada wa huduma kwa wateja mpaka ikamlazimu akate simu na baada ya kukata zikaingia meseji kibao kwenye simu yangu zikionesha huduma nilizojiunga na kiasi cha pesa nilichokatwa kwa kila huduma na OPTION ya kujiondoa hapa wamenipiga changa la macho Baada ya kuwasiliana nao ili ionekane nimejiunga na nilikuwa natumia hizi huduma.

Hii kwangu sio mara ya kwanza, nilishawahi kuacha kuweka salio kwenye line ya Tigo kwa ajili ya upuuzi huu, nikahamia Airtel nako nikakuta huu upuuzi upo na si mara moja ni kila mara pale unapoweka salio na ukakaa mda mrefu bila kulitumia au kujiunga kifurushi kwa kiasi chote Cha salio kilichopo kwenye simu otherwise lazma kikombwe.

SWALI LANGU KWENU TCRA, ni kweli mmeshindwa kuzuia wizi unaofanyika kwenye hii mitandao? Pamoja na kwamba kumekuwa na malalamiko mengi dhidi ya wizi unaofanywa na hii mitandao kwenye account za wateja za pesa kwenye line au salio bila idhini yao mbona hamchukui hatua? nini wajibu wenu kwenye kumlinda mlaji dhidi ya uhuni wa hii mitandao au mpaka tuwaandikie kwa barua?

Hata pamoja na kusajili kwa alama za vidole, mmeshindwa kuwadhibiti hata wale wa tuma kwenye namba hii? TCRA mna miundombinu mizuri na ya kisasa kabisa na wafanyakazi wenu mnaajiri wale Division one/ first Class tatizo kwenu ni nini?

Tuchukueni hatua hii mitandao inatengeneza pesa nyingi kwenye huu wizi halafu wanarudi kuwapa hizo pesa kwa mgongo wa gawio ama misaada kwa jamii na nyie mnawachekea, wakati huu ni utakatishaji pesa kabisa.

N:B
Kuna member humu alianzisha uzi wa kusudio la kuzishtaki hizi kampuni amefikiwa wapi ili tumuunge mkono maana hawa jamaa ni wapuuzi sana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wakuu poleni na hili janga la Corona ni mda kidogo nilipotea humu hali yangu kiafya haikuwa nzuri kidogo,tuendelee kuchukua hatua stahiki za kujilinda na kuwalinda wengine,Si mzaha Corona ipo takribani siku 15 mpaka juzi zilikuwa siku za kifo kwangu hakika malaika wa mungu walikuwa upande wangu kwa Sasa hali yangu inatengamaa japo kwa taratibu

Turudi kwenye mada, Nikiri wazi hizi kampuni za mitandao ( Vodacom, Tigo, halotel na Airtel) wanatuibia sana sisi wateja wake nadhani ni kwa sababu ya ubovu na udhaifu wa taasisi zetu zinazohusika mimi natumia mitandao hii yote nitatoa mfano kidogo ambao kwangu umekuwa tatizo sugu kwa hii mitandao yote kila mara.

Nilikuwa naumwa na mda mwingi nilikuwa napigiwa kazi yangu ilikuwa kupokea pale ninapokuwa na unafuu wa kufanya hivo, Leo nilikuwa nina unafuu kidogo nikaomba nitumiwe vocha ya Tsh 10,000/= ya Vodacom ili nifanye mawasiliano nikatumiwa ilikuwa mida ya saa7 mchana kwa vile mwili ulikuwa umechoka baada ya kuhakikisha salio limeingia niliacha simu nikaendelea kupumzika nikiwa nimelala.

Saa 12 jioni naamka najiunga kifurushi Cha kiasi cha salio nililonalo naambiwa salio halitoshi na Sina deni lolote kuangalia salio nakuta Tsh 1,300/= imekatwa imebaki Tsh 8,700/= na sijajiunga na huduma yoyote ya makato ya pesa iwe kwa siku au kwa mwezi na simu yangu naishika Mimi tu , Ikabidi niwapigie simu Vodacom huduma kwa wateja nikiwa mkali kwelikweli.

Wamenijibu upuuzi sana, eti nimejiunga na huduma zaidi ya saba wakaniorodhoshea sijui hadithi, Mpesa app, na madubashwa mengine ya kipuuzi ambayo wametumia Kama kigezo Cha kuhalalisha wizi wao Cha kushangaza sijawahi kutumia hizo huduma hata siku moja nimeishia kumtukana yule dada wa huduma kwa wateja mpaka ikamlazimu akate simu na baada ya kukata zikaingia meseji kibao kwenye simu yangu zikionesha huduma nilizojiunga na kiasi cha pesa nilichokatwa kwa kila huduma na OPTION ya kujiondoa hapa wamenipiga changa la macho Baada ya kuwasiliana nao ili ionekane nimejiunga na nilikuwa natumia hizi huduma.

Hii kwangu sio mara ya kwanza, nilishawahi kuacha kuweka salio kwenye line ya Tigo kwa ajili ya upuuzi huu, nikahamia Airtel nako nikakuta huu upuuzi upo na si mara moja ni kila mara pale unapoweka salio na ukakaa mda mrefu bila kulitumia au kujiunga kifurushi kwa kiasi chote Cha salio kilichopo kwenye simu otherwise lazma kikombwe.

SWALI LANGU KWENU TCRA, ni kweli mmeshindwa kuzuia wizi unaofanyika kwenye hii mitandao? Pamoja na kwamba kumekuwa na malalamiko mengi dhidi ya wizi unaofanywa na hii mitandao kwenye account za wateja za pesa kwenye line au salio bila idhini yao mbona hamchukui hatua? nini wajibu wenu kwenye kumlinda mlaji dhidi ya uhuni wa hii mitandao au mpaka tuwaandikie kwa barua?

Hata pamoja na kusajili kwa alama za vidole, mmeshindwa kuwadhibiti hata wale wa tuma kwenye namba hii? TCRA mna miundombinu mizuri na ya kisasa kabisa na wafanyakazi wenu mnaajiri wale Division one/ first Class tatizo kwenu ni nini?

Tuchukueni hatua hii mitandao inatengeneza pesa nyingi kwenye huu wizi halafu wanarudi kuwapa hizo pesa kwa mgongo wa gawio ama misaada kwa jamii na nyie mnawachekea, wakati huu ni utakatishaji pesa kabisa.

N:B
Kuna member humu alianzisha uzi wa kusudio la kuzishtaki hizi kampuni amefikiwa wapi ili tumuunge mkono maana hawa jamaa ni wapuuzi sana

Sent using Jamii Forums mobile app
TCRA WANAGAWIO TOKA MITANDAONI

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Halotel ndo wameharibika, hawafai kabisa

Umewafanya nini ili wasikuibie, maana mie nimebaki kupokea sms na salio la bure toka kwao na meseji zao za "Tumekukumbuka ndugu mteja" siweki vocha wala sijigusi mpaka nipigiwe huko au Diaspora wangu wantumie chenchi.

Tigo nako uzi ni ule ule tu, line iko hewani ila matumizi yake hakuna zaidi ya kununulia umeme kwa tigopesa😂😂😂 naenda weka hela kwa wakala nanunulia umeme inakuwa imeisha hio.
 
Umewafanya nini ili wasikuibie, maana mie nimebaki kupokea sms na salio la bure toka kwao na meseji zao za "Tumekukumbuka ndugu mteja" siweki vocha wala sijigusi mpaka nipigiwe huko au Diaspora wangu wantumie chenchi.

Tigo nako uzi ni ule ule tu, line iko hewani ila matumizi yake hakuna zaidi ya kununulia umeme kwa tigopesa naenda weka hela kwa wakala nanunulia umeme inakuwa imeisha hio.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Pole sana... Hili tatizo wanalo sana...

Ukiweka salio usipolitumia utakuja kuta wamelitumia wao lote limeisha...

Mimi naziweka kwa M-Pesa nafanyia miamala huko juu kwa juu... huko hawazichukui..

Cc: mahondaw
 
Kipindi cha nyuma kidogo ilikua unaweza ukaweka hela ukaja kujiunga siku za mbele na ukaikuta sio sasa hivi Voda ni hatari utadhani panya road baba wakiona umeisahau elfu kumi baada ya wiki sio yako huko vifurushi ulivyojiunga ukipiga simu hata tatu za muda mfupi na kifurushi chao cha haliishi utaambiwa kifurushi kimeisha hawa jamaa ni hatari sana utadhani wameenda course ya kudokoa aisee...
 
Back
Top Bottom