Kukosea wamekosea? ndio wamekosea,lkn tujiulize je events ilikuwa ni live au ili edit-wa ikarushwa tena? Event ilikuwa live.
So kucontrol live events ni shughuli sana na ndio maana wenzetu mfano (BET Awards) kabla events yao haijaenda hewani wanakuambia kabisa hii ni live event na wanakwambia wanaotakiwa kuangalia ni watu wazima (18).Sababu wanajua sometime hasa wasanii wakike inaweza ikatokea kaanguka,Chupi ikakaa pembeni mashavu ya papuchi ya kaonekana (Ishamtokea Beyonce.
Beyonce Suffers Onstage Panty Slip! Hot Pics Provided! | NSFW Celebs ) au sometimes hata lugha inaweza kuwa kali.
Kama ingekuwa events sio ya live kweli wanastahili hiyo adhabu ,sababu kinapitiwa na muhariri lkn still bado adhabu ni kubwa,unapoifungia TV miezi sita maanake kuna watu watakosa ajira kwa miezi sita hawana mshahara na ukizingatia mwezi wa January ni mwezi mgumu mno,manake familia zao zitakuwa na hali mbaya.
Kama ndio hivyo basi wapige marufuku mpaka Miss Tanzania manake wale wanavazi la ufukweni,sasa pata picha labda mmoja wa washiriki kadondoka alafu chupi nayo ikakaa pembeni papuchi ikaonekena manake hiyo TV itaifungia ,Fiesta zmida ya night kali kuna baadhi ya wasanii wanatukana kabisa ,ndugu yangu Majizo na watu wake wa singeli walio vurungwa nao itakuwa hivyo,sasa utafungia vituo vingapi manake events zote hizo zinaenda live na wasanii wetu wengi hutumia vilevi bange na vinywaji.
Cha msingi kama mimi TCRA ninge deal na Giggy Money wampe adhabu na wamkanye,Wasafi TV ningewatoza faini na ningeweka sheria kwamba kabla ya tukio ambalo kuna uwezekano ya katokea mambo ya kimaadili,lionyeshwe kuanzia saa 4 au 5 usiku na kabla ya kuanza waseme tukio hili wanatakiwa kutizama watu wa miaka 18.
NB;Manake kama hivyo basi wazuie kabisa Wasafi festival,Fiesta,Miss Tanzania na Mziki mnene zisiende live,sababu haya matukio mambo kama haya ,haya kwepeki yanaweza kutokea mda wowote jukwaani.