mgt software
JF-Expert Member
- Nov 1, 2010
- 13,767
- 7,115
Habari,
TCRA naomba watueleze kwa nini mtambo wao umeshindwa kuzitambua simu feki tajwa hapo juu? simu hizi Sony Z4,Z5 ni feki zipo kwenye soko muda mrefu, wapigaji wanaendelea kuziuza kama original na hazikamatwi. Simu hizi nying android vr. 5.0.2 Base band version Moly.WR8 W1315.md. Build number m11v20_dhd_a01-001_qhd_env04
Custome Build version 1451385038. Boot loader MTK cheap.
Simu hizi zinauzwa kwa kujiamini na watu wanatoa hata guarantee ya miezi 6.
Sijajua ni umakini gani unatumika au muingizaji /muagizaji ashawaweka sawa. kawaida simu ya mchina kwa sasa, ukiwasha dakika tano tuTCRA washaosha hata nyingine wanaosha net hata kama ni original. Simu nyingine kama hizo ni X-BO nazo feki lakini TCRA bado wanazitambua kama original.