TCRA kwanini mmeshindwa kuzifungia sony z4,z5 Feki?

mgt software

JF-Expert Member
Nov 1, 2010
12,809
2,000
Habari,

TCRA naomba watueleze kwa nini mtambo wao umeshindwa kuzitambua simu feki tajwa hapo juu? simu hizi Sony Z4,Z5 ni feki zipo kwenye soko muda mrefu, wapigaji wanaendelea kuziuza kama original na hazikamatwi. Simu hizi nying android vr. 5.0.2 Base band version Moly.WR8 W1315.md. Build number m11v20_dhd_a01-001_qhd_env04
Custome Build version 1451385038. Boot loader MTK cheap.
Simu hizi zinauzwa kwa kujiamini na watu wanatoa hata guarantee ya miezi 6.

Sijajua ni umakini gani unatumika au muingizaji /muagizaji ashawaweka sawa. kawaida simu ya mchina kwa sasa, ukiwasha dakika tano tuTCRA washaosha hata nyingine wanaosha net hata kama ni original. Simu nyingine kama hizo ni X-BO nazo feki lakini TCRA bado wanazitambua kama original.
 
mgt software

JF-Expert Member
Nov 1, 2010
12,809
2,000
basi watu wote waache tutumie feki original, kinachotakiwa ni kujua kwa nini wameshindwa hili au ujuzi umepungua??
 
The Mack

JF-Expert Member
May 25, 2017
238
250
Mleta uzi umetumia kigezo gani kutuaminisha km hizo cm n fake. Sjaona ushahid wwt unaothibitisha
 
mgt software

JF-Expert Member
Nov 1, 2010
12,809
2,000
Mleta uzi umetumia kigezo gani kutuaminisha km hizo cm n fake. Sjaona ushahid wwt unaothibitisha
Ni kwamba Sony Z5 inatumia CPU ya Qualcom hii imetumi CPU ya MTK na software building no ya aina hii haipo kwenye series za sony.
 
Lihakanga

JF-Expert Member
Dec 17, 2016
2,561
2,000
Mimi mmojawapo wa waliopigwa. Maumivu makali. TCRA siyo bure, 10% imewakolea.
 
mgt software

JF-Expert Member
Nov 1, 2010
12,809
2,000
Mleta uzi umetumia kigezo gani kutuaminisha km hizo cm n fake. Sjaona ushahid wwt unaothibitisha
Ni kwamba Sony Z5 inatumia CPU ya Qualcom hii imetumi CPU ya MTK na software building no ya aina hii haipo kwenye series za sony.
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom