Labda mhariri katumia cheti cha mtuYeye alikua msomaji tu
Mhariri hapo ndio wa kuchukuliwa hatua
tbc imekufa
sio tu kuangalia, mimi nimeifuta kabisa kwenye king"amuzi changundo maana niliacha kuangalia tbc kitambo sana, huu ni zaidi ya upuuzi
...Siasa zikiendekezwa sana huwa zinaharibu taaluma, weledi na pia kuathiri uwezo wa mtu kufikiri na kufanya maamuzi sahihi, namuonea huruma sana mwalimu wangu Dr. Rioba..Inashangaza kweli.Kundi la wasomi wote waliopo hapo TBC habari hii ikawapita bila kugundua hilo? Sababu kubwa? Habari ni ya kumsifia Rais. Kwao sifa kwa Rais ni jambo muhimu kuliko professionalism. Hovyo.
Clip yenyewe hii hapa. TBC imekua genge la wahuni.