TCRA inawalinda VODACOM

johnmashilatu

JF-Expert Member
Sep 16, 2010
652
555
Naomba kutumia jukwaa hili kufikisha mawazo yangu kwa watanzania ili pamoja na mambo mengine tuangalia njia za kuchukua kuondokana na ukandamizaji unaofanywa na makampuni ya simu za mkononi ambayo kwa maoni yangu hayatendi haki kwa wateja wao

Napata shida zaidi na TCRA hawa wamethibitisha kwmaba wako kwa ajili ya maslahi ya wafanyabiashara wakubwa, kama ilivyo kwa regulator wengine, EWURA, SUMTRA etc.

pamoja na m,abo mengine watanznaia walambiwa wasajili line zao, zoezi likafanyika watu wakaingia gharama kubwa lakini baada ya muda uliotangazwa kuwa line zisizosajiliwa ziliendelea kuwa hewani, TRCA kimya!

walitueleza wakati fulani kwmaba watawabana wenye makampuni ya simu ili kupunguza gharama za miiti lakini imekuwa ndivyo sivyo

watumiaji wa simu za mkononi tanzania wamekuwa wakipata usumbufu na kuibwa kwa aina nyingi lakini hakuna hatua zozote ambazo zinachukuliwa. naambiwa kuna mamlaka ya kumlnda mlaji dhidi ya njama za watoa huduma, lakini sijui iko wapi

ukiwa na lini ya simu tanznaia ni Kero!, unapiga simu lakini unacvhokutananacho ni matangazo kwanza kwamba kama unataka mziki huu bonyeza... au unaza kuambiw aujiunge wewe na ndugu zako katika...... halafu ndio unaambiwa namba unayotafuta haipatikani, wakati umepotezewa muda wako bila sababu ya msingi

kama hiyo haitoshi kuna wizi wa aina yake kwa wateja kuambiwa kutuma ujumbe wa neno bure halafu hakuna gharama inayotozwa ili ushiriki shindano la.......

Jumamosi nimewasilisha malaklaiko yangu TCRA kwa njia ya Mtandao wao, baada ya kupata usumbufu kutokana na kutumiwa ujumbe nisiohitaji kupitia line yangu ya Vodacom lakini hadi ninavyiandika ujumbe huu, hakuna hata taarifa kuonyesha kuwa ujumbe umepokelewa!

nawataka TRC iwambie wafanyabiashara hao w asimu z amkononi kwmaba uamuzi wa mteja kuwa na line ya kampuni fulani sio tiketi ya mtandao husika kuwatumia wateja ujumbe wa kila aina.

umelala saa nane usiku unapata ujumbe... ukifungua kuangalia unakuta mambo ya ajabu kuwa jiujnge na...., umeshinda katika shindano la.......

natumani ujumbe huu utawafikia wahusika, waache mchezo huu
 

Bright Smart

JF-Expert Member
May 4, 2011
645
311
ila jamani mbona lawama zote zinaenda kwa Vodacom as if ndo wamesababisha ajali yenyewe itokee!!??? mbona vyombo husika vya kuhakikisha usalama wa safari za majini vimewekwa pembeni katika suala hili!!?? sioni kama ni busara kuishambulia vodacom kiasi hiki ilhali ni ukweli usiofichika hiyo meli iliyozama ilikua kwa muda mrefu katika hali mbaya sana za kiusalama na kiufundi kuendelea na shughuli za usafirishaji na wahusika walikaa kimya kuchukua hatua mpaka imezua maafa kama haya yaliyotokea, sidhani kama ni busara kusimamisha shughuli za watu wengine kwa uzembe wa mamlaka flani husika bwana!!
 

luckyp

New Member
Sep 14, 2011
1
0
Pole sn bw. John nachofaham mm tcra hawawezi kukusaidia kwa lolote. Malalamiko km yako yametolewa na wengi bila mafanikio. Ukisoma mwongozo wa malalamiko wa tcra wanataka upeleke malalamiko yako kwa mtoa huduma kabla hujawasiliana nao. Huu ni upungufu mkubwa kwa sababu makampuni ya simu yana mfumo mbovu wa kupokea malalamiko ya wateja. Fikiria ukitaka kuongea na customer service unaishia kuunganishwa na mitambo ya sauti inakupa maneno meeeeengi ukija shtuka chaji finito....

Kifupi makampuni ya simu yamekuwa hayana tofauti na biashara ya daladala.....wanavutia watu wapya tu...bila kujali wanahudumia vipi watu walionao!

Pole sn.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

0 Reactions
Reply
Top Bottom