Bornvilla
JF-Expert Member
- Feb 17, 2011
- 924
- 271
TCRA inaendeleza hujuma
dhidi ya waislam
nchini,kwani kumekuwa na
tabia ya kuvibana vyombo vya
habari vya kiislam nchini
Tanzania.Mara nyingi imekuwa ni ngumu kupata
kibali cha kuanzisha chombo
cha habari cha kiislam.
Safari hii imekuwa kwa
radio ya IQRA 100.0 FM ya jijini Mwanza ambayo bado ni
mpya.TCRA wameamrisha
redio hiyo iliyopo katika jengo
la CCM kuhama kitu ambacho
kimetufanya wadau kujiuliza
maswali mengi ya kwanini radio Iqra ihame jengo la CCM?
Wakati huo huo radio clouds
wapo hapo hata kabla ya Iqra
fm,pia kuna radio passion
fm.Swali ni kuwa radio zote
hizi mbili zimekuwepo kwenye jengo hilo la CCM kwa
muda mrefu,lakini radio IQRA
ambayo hata mwaka
haijafikisha imeamuliwa
kuondoka kwenye jengo hilo
kuna nini? Ndani ya wakati huu radio
inasaka mahali pa kuhamia
japo haikushindwa kulipa kodi
ya pango,na hata kama radio
ikishindwa kulipa pango TCRA
wanahusikaje? Hizi ni fitna! Tumshukuru ALLAH kwa kuwa
radio imepata kiwanja
katikati ya jiji na mpango
uliopo ni kujenga jengo
kwaajili ya shughuli zoteza
radio.Ewe ndugu Muislam ili kuepuka adha hizi unaombwa
kwa hali na mali kutoa
mchango wako
fedha,nondo,mabati,cement na
vifaa vinginevyo vya
ujenzi.Changia kwa M-Pesa 0753-885263 Kama upo Mwanza unaweza
kupeleka mchango wako pale
studio jengo la CCM. Haya
shime Waislam huu ndio
wakati wa kuamka,tusizilalie
mali zetu.tujitahidi ili tujikomboe ili tusinyayasike.