MwafrikaHalisi
JF-Expert Member
- Oct 12, 2011
- 1,741
- 511
Lawama zoote! kumbe unaomba mchango. Nakushauri fuatilia kama kweli ni TCRA wameihamisha kwenye jengo hiyo redio. pia fuatilia kwa nini wamefanya hivyo maana inaonyesha na wewe hujui sababu. Jitahidi siku zote kufanya utafiti kabla ya kulalamika. Mara nyingi malalamiko yasiyo na hoja hayasikilizwi.
Huyu ndugu kazunguka kumbe shida mchango? Sijui kwanini mnapenda kulalamika kiasi hiki!