TCRA inatambua wizi huu wa makampuni ya simu?

...... So imagine kila mteja alituma meseji zaidi ya 10,kwa scenario iyo Vodacom walitengeneza Tsh. 18,000,000,000! Then kwa muda wa takribani miezi 6 ya shindano lile,hata sitaki kujua ni kiasi gani Vodacom walipata.

!

the thinking is correct ila kwamba kila mtu alituma msg si sahihi i mean average msg per person kwamba ni 10 nafikiri umeenda mabli sana
 
tcra hawakwepi hili ni lazima wanalijua na tuseme wanakubali watanzania wachovu waendelee kunyonywa bila ya wao kujijua wakidhani watapa good life la fasta
 
the thinking is correct ila kwamba kila mtu alituma msg si sahihi i mean average msg per person kwamba ni 10 nafikiri umeenda mabli sana

Kimahesabu inawezekana,kwani mtu mmoja anaweza kutuma meseji hata zaidi ya 50,mwingine 20,mwingine 100! Hivyo ukitafuta average,meseji 10 kwa kila mteja inawezekana!
 
tcra hawakwepi hili ni lazima wanalijua na tuseme wanakubali watanzania wachovu waendelee kunyonywa bila ya wao kujijua wakidhani watapa good life la fasta

Licha ya tamaa ya kutoka kimaisha na American Dreams in Bongoland,TCRA ndo chanzo cha wizi huu. Educational credibility ya hao maprofwesa hapo TCRA inakua very questionable!
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom