hata mm nashangaa
Hivi TCRA na EWURA ni ndugu wa damu?
Suala hilo nadhani Magu hajalipata, ama nusanusa wake wanatumia Zooku zinazo-scramble chanel zote ukiishiwa kifurushi.
Undava kama huu, lazima kuna mtu tena mkubwa kabisa serikalini anayeishi kwa kutumia kivuli hicho. Haiwezekani wenye mamlaka ya kusimamia hayo mambo kujifanya hawaelewi.
Wale wafuite na midomo yao ili wasieleweke walichokula. Ole wao wenye madaraka wanaoendelea kutusumbua chini ya utawala huu, wamekalia kuti lililooza.
Wawaulize maboss bodi ya korosho juzi huko sijui Songea! Wakati wanaswagwa kwenye karandinga kwenda kukojolea zululu,mibaba na vitambi vyao, walinywea kinyama, kama watoto wadogo. Ujanja wa mtu hajabanwa.
Sasa na hao waendeze hiyo dhulma na huo ushenzi wao lakini ipo siku kitaeleweka tu.
Even king'amuzi cha Azam nao ni hivyo hivyo kifurushi kikiisha na local channel zinaenda likizo it's not fare... akafu bei zao kidogo zipo juu kimtindo[emoji48][emoji48]
kuna haja ya kununua satelite dish ama satelite antenna hdHivi sasa huwezi kupata local channels kama ilivyoanishwa katika sheria lakini chombo kinachosimamia sheria ya mawasiliano kimenyamaza kimya...ukiwapigia star times wanakuambia hadi ulipie
MLocal channels zilikuwa hazikatwi kwa sababu serikali ilikuwa inalipia lakini JPM kakataa hayo malipo so kama kuna king'amuzi bado kinaonyesha free hiz
channel basi hiyo ni bahati tu
Local channels zilikuwa hazikatwi kwa sababu serikali ilikuwa inalipia lakini JPM kakataa hayo malipo so kama kuna king'amuzi bado kinaonyesha free hizo channel basi hiyo ni bahati tu
Na Wewe ukaendelea kulipa tuuuu? Kwani huwezi kuishi bila star TV? Tumia nguvu yako Kama mteja.. Waambie Kama hawakurudishii hizo Chanels Wewe na wao basi.. Unakata uhusino wa kibiashara.. WatakurudishiaStartimes ni wasanii sana coz wakati tunanua hivyo ving'amuzi vyao walikuwa na vya aina mbili.
1.Kile cha 22,000 ambacho utakuwa unalipia kila mwezi
2.Cha 89,000 ambacho channel za ndani ni bure
Binafsi nikaona isiwe shida nikachukua cha 89,000 lkn sahivi wamenikatia channel zote nikiwauliza kulikoni wanasema nilipie tu baadae wataondoa hayo malipo
Mm niliwapigia azam tv wakaniambia kua wanakata ili ulipie kwasababu na wao wameaza kutozwa kodi ya local channel na serikaliLocal channels zilikuwa hazikatwi kwa sababu serikali ilikuwa inalipia lakini JPM kakataa hayo malipo so kama kuna king'amuzi bado kinaonyesha free hizo channel basi hiyo ni bahati tu
Ukinunua dekoda ambayo ni mzur..mm nilinunua laki na ishirini unaona chaneli zote za local na dini..ukimpata mtaalam anakusetia frequecy adi za startimz unaziona free..za azm cjajalibuWataalamu wa madishi hivi yale madishi ambao si ya makampuni yanayouzwa madukani je yakiwekewa LNB za kutosha yanaweza kunasa bure hizi channel? maana watanzania tusiwe wajinga kiasi hicho kulipa fedha kwa channel ambazo unaweza kuzinasa free on air bure.
Mimi nahitaji hizo local tuu kwani hata hizo tunazouziwa na star timez si ni free on air za nchi nyingine?Ukinunua dekoda ambayo ni mzur..mm nilinunua laki na ishirini unaona chaneli zote za local na dini..ukimpata mtaalam anakusetia frequecy adi za startimz unaziona free..za azm cjajalibu
Hawa startimes bado sijawasoma mimi binafsi king'amuzi nilikiacha kwa muda mrefu wakafyeka channel zote isipokuwa tbc1 na Tv1 nikalipia 6,000 wakanipatia kifurushi cha nyota na local channel nyingine,sasa nina mwezi wa pili sijalipia tena wamekata kifurushi cha nyota ila local zote wameniachia