TCRA hawa Airtel waangalieni sana..mpangilio wao wa kuongea na huduma ya wateja.

Ni wababaifu sana.
Ata ukienda ofisini kwao pale Posta wana maji u ya kunywa wakiongozwa na meneja wao
 
Hili jambo linawakuta na wenzangu ama ni mimi tu yaani ni tabu sana kuongea na huduma kwa mteja ukipiga 100 ni kuongea na mashine tu. TCRA ebu rusheni rungu hapo. Bora hata 0713.
Me yamenikuta juzi, na laini yao nimetupilia mbali
 
Wazee wa umetumia 75% ya bando lako.

Hawa Airtel kwa uswahili hawajambo na internet yao ipo slow sana.
 
Hili jambo linawakuta na wenzangu ama ni mimi tu yaani ni tabu sana kuongea na huduma kwa mteja ukipiga 100 ni kuongea na mashine tu. TCRA ebu rusheni rungu hapo. Bora hata 0713.
Yaani hii ni kero kubwa sana; kuna wakati unazungushwa kwenye robot lao kwa dk 20 bila kupata access kuwa upige namba ipi ili umpate muhudumu. Kuna wakati ilibidi nifunge safari hadi dukani kwa wakala wao Mlimani city wakati tatizo lingetatuliwa kirahisi na bila gharama kama access ya kuongea na operator ingepatikana.

Vv
 
Back
Top Bottom