Nadhani nyie ndio,hamjaelewa! Sio kwamba wameairisha kuzima mitambo ya analojia kwenye mikoa tajwa,ktk uhamaji huu waathirika wakubwa ni zile sehemu ambazo m2 alikuwa ana2mia antena tu ya kawaida na anauwezo wa kuona chaneli za hapa nyumbani,na maeneo haya kwa kiasi kikubwa dsm, pwani na bagamoyo,lakini mikoa mingi ni vigumu ku2mia antena na kuweza kupata matangazo ya tv,ndio maana kuna huduma ya cable na dish ambazo hazitaathirika.kazi ni kwa wakazi wa dar!ndio kutakuwa na mtafutano.
Taratibu sio kulalamika kila kitu, katika mikoa zaid ya 25 kuachwa mitatu ndio iwe kelele ivyo! Watabadili tu nina imani.Nimeshanganzwa sana na taarifa ya TCRA kupitia ITV leo kwamba eti mitambo ya analojia haitazimwa kwa baadhi ya mikoa ambayo eti hakuna mitambo ya dijital.wametaja mikoa kama kigoma,kagera,tabora nk kwamba wataendelea kuona matagazo ya analojia(chenga).
mimi najiuliza hivi mikwara yote ilikuwa ya nini? acheni kutumia fedha za walipa kodi namna hii jamani.
Sio mitatu tu kaka...hivyo ving'amuzi vyenu vinashika katikati ya mji 2,pembezoni hakuna ki2,2nasubiri wazime simu za kichna sasaTaratibu sio kulalamika kila kitu, katika mikoa zaid ya 25 kuachwa mitatu ndio iwe kelele ivyo! Watabadili tu nina imani.