TCRA fungieni pale kati ya Ney wa mitego haraka

mzushi

JF-Expert Member
Mar 9, 2012
3,094
4,251
Ney wa mitego naona sasa ameishiwa na kuamua kutafuta kiki kwa nguvu,hii nyimbo yake haina maadili kabisa,cover yake ni matusi tupu. Nadhani TCRA imefika wakati huyu jamaa afungiwe kwa muda ili akajipange kwanza maana kichwani mashairi yenye maadili yameshakwisha.
 
Hii ni moja ya picha za kava ya hiyo nyimbo kiukweli haijakaa poa kabisa!
98e8fcee42ba40877b83da4cfbf28399.jpg
 
Mwenye kuwa nayo naomba aitume hapa ili niiwasilishe Kwa wahusika ikatumbuliwe
 
Back
Top Bottom