TCRA fungieni blogu 'uchwara'

TCRA fungieni blogu 'uchwara'

Molembe

JF-Expert Member
Joined
Dec 25, 2012
Posts
9,932
Reaction score
11,852
Kuna viblog vimefunguliwa vimekuwa vinaandika habari za kupotosha na kuweka picha zisizo na staha naiomba serikali kupitia TCRA ifungie blog hizo maana nyingi ni ngono na habari za kupotosha.
cc TCRA
 
Last edited by a moderator:
kuna mmoja inamilikiwa na mzee wa mdananda A.K.A kubwa jinga mjumbe jumuiya ya wazazi ccm
 
Wananikera sana tena wanazitangaza Facebook utasikia nimebinjuka na mama yangu sasa kanogewa nishaurini,mara Nauza bikra elfu 50 najaribu kublock nisipate habari zao lakini nimeshindwa
 
Back
Top Bottom