TCRA fanyeni kazi kwa ubunifu.....acheni ubabaishaji

Magezi

JF-Expert Member
Oct 26, 2008
3,359
692
Ukija nchi zingine watumiaji wa mitandao ya simu za mkononi na hata landline, kodi unayolipa inakatwa pale pale unapoongeza salio. Ni kwa nini TCRA mmekaa kimya wakakti wananchi wa Tanzania wanao tumia simu za kiganjani hawajui wanalipia kodi kiasi gani kila wanapopiga simu?

Ni wajibu wenu TCRA kuyaagiza makampuni ya simu yaboreshe mitandao yao ili mtumiaji kila anapoongeza salio ajue analipishwa kodi kiasi gani, acheni wizi kwa kushirikiana na makampuni haya.
 
Back
Top Bottom