mgt software
JF-Expert Member
- Nov 1, 2010
- 13,771
- 7,138
Wana JF,
Napenda kuwataarifu kuwa TCRA imejiandaa kuwa na kesi nyingi za mitandao pamoja na vijana mafundi simu waliojitafutia ajira kwa njia ya kutengeneza simu za mikononi na kutengeneza ajira.
Mpaka sasa kuna vijana waliojiajili zaidi ya laki tatu , karibu kila kona kuna fundi simu wa software and hardware, hii huduma ilianzishwa na vijana watundu Yahaya mapua, Peter Lema na Mwesiga Reginald, mwaka 1999, hii ilionekana kuwa ajira mpya kwani ilikuwa inaiingiza kipato sana, pamoja na kuwa na matatizo mengi, kadri vijana walivyoendelea kukosa kazi, walijikita kwenye ufundi zaidi hadi kuwa wengi, ilipofika mwaka 2005, mambo yakabadilika, ufundi ulionekana uhuni kwani fani hii iliingiliwa na vijana ambao hawakuwa na ujuzi , vijana hawa walitoka kwenye secta yao ya kutengeneza saa na kuvamia ufundi simu, wakati huo wakiwa wamejisajili kwenye vyama vyao WAMASA( mafundi saa)
Vijana hawa walifanya uharibifu mkubwa sana mpaka kukawa na kesi za simu nyingi zilizoharibiwa kwa kuchoma choma na kifaa kama hothair gun , kifaa cha kuunguza nywele dry hair , hapo ndipo heshima ya ufundi ilipotea.
Kwa nini nimeamua kuandika kuwa TCRA wanatakiwa kukutana na vijana waliojiajiri kutengeneza simu ili kuwanusuru na kifungo, hii ni kwa sababu ya kupunguza vijana wataoathrika na zoezi hili.
1. TCRA hawajui kwa nini kumekuwepo vijana wengi watengeneza simu, na katika simu hizo huwa wanatengeneza nini?
2. TCRA awajui au wanafanya makusudi kutumia neno ku-flash linatumika muda gani,
3. TCRA viwango vyao vya uchunguzi kuhusu jinsi ya kubadili Imei Number bila kwenda kwa fundi bado kuna utaalam ndogo.
4. TCRA hawajawahi kukagua mafundi na kuwauliza changamoto wanazokutana nazo na wao kutoa elimu jinsi ya kuwaondolea tatizo hilo , badala yake wame-copy sheria za nchi fulani na kuziweka kama zilivyo.
5. TCRA hawajaweza kudhibiti apps, gapps ambazo zinaweza kutumika kubadili imei zilizojazwa kwenye playstore.
Namaliza kwa kusema kuwa, watanzania wenzangu mafundi simu wamekuwepo miaka mingi kwa ajili ya kusaidia watu ili simu zao ziweze kutumika, kuna siku zimu zinastuck, zinaingia virus kama vile time service, monkey test , englis, adobe air, street view na nk, software za android zinakufa, hivyo bado mahitaji ya kuwepo mafundi simu.
TCRA wanachotakiwa kufanya ni kuzuia mafundi saa kutumia nembo ya mafundi simu na kuondoa vibao vyao vinavyowatambulisha kuwa mafundi simu ili kupunguza malamiko ya hapa na pale, TCRA inatakiwa kuwa na orodha ya mafundi na lesseni zao wanaotambulika kisheria kwani mafundi saa wenye vimeza pamoja na uharibifu hawalipi kodi. Ikiwa kuna tatizo mafundi simu wanaweza kutoa ushirikiano mkubwa sana kukomesha hata uharifu kwa kutumia simu bandia.