Wadau wa teknolojia kama yupo anayetumia aina hii ya TV ama mwenye ujuzi nayo anipe darasa kidogo apa. Tv yangu imegoma kuwaka inaonesha taa nyekundu ya "power" ukibonyeza kitufe cha power kwenye remote ili kuwasha inabaki vile vile na ukibofya kitufe cha power kwenye Tv yenyewe red power botton iko vile vile. Nimesoma na kufuata maelekezo yote kwenye instructional manual book lakini imeshindikana. Msaada tafadhali.