Ukitaka kula mema ya Nchi na mabinti warembo, ni lazima uwe mwepesi kufungua pochi, na kwenye hilo eneo Wazee hatuwazagi sana π€
Kwenye umri naweza kuwa nimekupita parefu, Ile picha ya selfika ni ya mwaka 47 ujue π€ͺ
Otherwise, tukapimane umri Selous National park, muhimu unibebee dawa zangu za Presha tu π€ π π
Msala ulikuwa Ni wakati wa utawala wa JPM au siyo
Twenzetu Selous Mzee mwenzangu, binafsi maandalizi nilifanya tangu mwezi uliopita ujueKwa kipengere hicho wazee π«‘ kwenu
Kwa hizo story na comment zako tunaweza kuwa umri unaendana kiasi.
Kama pensheni bado inapumua tukaimalizie tu serous haina namna
Twenzetu Selous Mzee mwenzangu, binafsi maandalizi nilifanya tangu mwezi uliopita ujue
Nataka unipe sababu ya kumpelekea kungwi wako zawadi maalumu baada ya kuona yaliyomo π€
Wanasema jungu kuu halikosi ukoko, na sisi wanywaji huwa tunasema mvinyo kadri unavyokaa muda mrefu ndivyo unavyozidi kuwa mtamuHiyo park nina siku nyingi sijaenda,, jambo zuri!!!!
Nilishajizeekea ukitoka huko usije kunianzishia uzi wa kukana yote niliyoandika sababu hamna kitu kwangu mie.
Kumbe yaliyomo yamo kwako???
Nimekuelewa, tuishie hapoHapa nimeandika story kama umeisoma vizuri!! sijaandika sehemu yoyote kuhusu engine.
Hiyo part unayosema niliwahi kuandika kwenye comment haihusiani na hii na sikusema ilikuwa wakati gani? sikueleza kiundani sana!!!!
story hiyo na nilishasema nitaleta mkasa mzima hapa siku nikijisikia.
Huu uzi sikutaka kutaja majina ya watu japo ningetaka ningefanya hivyo. na unaona sijayataja kabisa kwa nn unataja hilo jina muda wote???? ipi sababu?
Ndo maana nakukubali...kwenye mishe za hela inabidi upokee vyotee,Hilo sio swali mtoto
Ndo maana nakukubali...kwenye mishe za hela inabidi upokee vyotee,
Sema kama afya yako iko poa, Shukuru Munguπ
Wengine sisi hapa ni waoga japo maneno mengiπ€£π€£...
BJ no
Anal sex no
Kunyonya ombo, maku sitaki hata kusikia, I can't do it!
Haya mambo siyawezi ndo maana natafuta pesa kwa nguvu zangu aseeπ€
Wewe hujawahi kuhonga?Hajaona kingine zaidi ya kuhongwa.
SijawahiWewe hujawahi kuhonga?
Uwa hauhongi?
Kwamba hivi vitoto tulivyo navyo kwenye jamii vinavyolombwa kwa chips yai havina la kujifunza?Hopefully umekubaliana na mimi kuwa hii stori ni nzuri jukwaani ila sio kwenye jamii. Hilimaanisha hivyo kwenye ile quote. Asante sana nimeongeza uelewa.
Uongo.Sijawahi
Labda ulete ushahidi kuwa nilikuhonga.Uongo.
Labda kama ni ke
Umekuja speed sana.Kwamba hivi vitoto tulivyo navyo kwenye jamii vinavyolombwa kwa chips yai havina la kujifunza?
πππUmekuja speed sana.
Soma mjadala uliponzia inaonekana nimegusa masrahi yako dada
SawaLabda ulete ushahidi kuwa nilikuhonga.
Huyu alijizatiti na akafanya kwa weledi na kitalaamu zaidi, si umeona kuna kozi/mafunzo maalum alilipia akahudhuria?Umetisha sana dada
Wanaume mnaona mwenzenu kahonga viwanja enhee sasa nyie endeleeni kusema mapenzi sio pesa
kumbe ulikuwa unasimulia nini?Mwanangu bado anasoma.
wadada gani hao hawapatani na wanashindania nini???