TBT

Wow et kukazia utamaduni huhuhuhu
Dada ake we sio mwema ndio ukarudisha mapigo🙌🤣🤣
 
Huwezi amini dada la mujini nakujua🤣🤣...mara ya mwisho tulikutana rose garden, I'm humble you know🙏
 
mash allha😍,, sema dada etu unajicho zuri mnooo😊
alf naomba niwe mwanafunzi wako unifundishe yale ulofunzwa na bi chau nataka kumkomesha mtu kwa mahabati🤭,,
 
mash allha😍,, sema dada etu unajicho zuri mnooo😊
alf naomba niwe mwanafunzi wako unifundishe yale ulofunzwa na bi chau nataka kumkomesha mtu kwa mahabati🤭,,

Kiukweli jicho lipo.....
Mafunzo kama kweli unahitaji siku hizi makungwi wengi mnooo mpka TikTok wapo.
Ingia chimbo mtoto wa mama mkwe anene kwa lugha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…