TBT

TBT

DMmasi

JF-Expert Member
Joined
Nov 28, 2020
Posts
623
Reaction score
1,001
Wana JamiiForum mko powa
Baada ya salamu leo turudi nyuma kidogo kwenye
Lile goma la Ferooz lakuitwa Boss

Ingekuwa ni wewe ungeamua nini katika mawili ambayo jamaa alikuwa akishauriwa
1. Uvumilie
2. Usikubali bora uwangamie

Mimi apa ningekiwasha kwenye ile verse ya kwanza mapema sana
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom