Mkuu unatumia maneno magumu sana kwenye vichwa vyepesi.Tutachukua muda mwingi saaana kukuelewa ulichomaanisha.Hii picha ya Don Nalimison a.k.a Deogratius Kisandu imenifikirisha Sana, hakika hamna aijuaye kesho.
Sijui kitenesi kitaweza kudunda KWENYE tope? Au ndio kimezama moja kwa moja topeni?
Jamàa alikuwa vizuri huko nyuma kiasi Cha kuaminika kupanda jukwaani na Dr. Slaa, je leo Kuna wakumuamini apande na kiongozi yeyote jukwaani?Mkuu unatumia maneno magumu sana kwenye vichwa vyepesi.Tutachukua muda mwingi saaana kukuelewa ulichomaanisha.
Itategemea na yeye anajiona kaangukaje, kama anajidhania bado kasimama hqpo ndo tatzo ila kama anajua aliteleza wapi mbona mzuka tuJamàa alikuwa vizuri huko nyuma kiasi Cha kuaminika kupanda jukwaani na Dr. Slaa, je leo Kuna wakumuamini apande na kiongozi yeyote jukwaani?
Je haya matatizo anayoyapitia sasa yatakoma? Au ndio yamekuwa ni ya kudumu?
Mkuu kwani huyu jamaa ndo Deo kisandu?Hii picha ya Don Nalimison a.k.a Deogratius Kisandu imenifikirisha Sana, hakika hamna aijuaye kesho.
Sijui kitenesi kitaweza kudunda KWENYE tope? Au ndio kimezama moja kwa moja topeni?
Je hili ni swali au ni jibu?Mkuu kwani huyu jamaa ndo Deo kisandu?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Je hili ni swali au ni jibu?
Duuuu! Mzee mbona ulikuwa umefua hivyo? Mshati mkubwa msuruali mkubwaAliyekunja mikono
Sasahivi apande na lipumbaJamàa alikuwa vizuri huko nyuma kiasi Cha kuaminika kupanda jukwaani na Dr. Slaa, je leo Kuna wakumuamini apande na kiongozi yeyote jukwaani?
Je haya matatizo anayoyapitia sasa yatakoma? Au ndio yamekuwa ni ya kudumu?