Meja Jenerali Isamuhyo
JF-Expert Member
- May 20, 2017
- 3,129
- 9,678
Hapo pembeni karibu na jengo la Tanesco ndipo palikuwa stendi ya daladala ubungo.
Wewe unakumbuka nini maeneo hayo?
Wewe unakumbuka nini maeneo hayo?
Stendi ya zamani ya daladala iliyokua pembeni hapo nimeitumia sana na nilikua na rafiki anafanya kazi Tanesco jengo dogo lilikua hapo pembeni kabisa ya sehemu ya kuingilia stendi.Hapo pembeni karibu na jengo la Tanesco ndipo palikuwa stendi ya daladala ubungo.
Wewe unakumbuka nini maeneo hayo?View attachment 3508321