Greatest Of All Time
JF-Expert Member
- Jan 1, 2017
- 26,541
- 61,998
Wakati huyo magari au vyombo vya moto vilikuwa vichache lakini ilikuwa ndege ya chiniNgorika Ni Gari Yabura Mwanga Saa Saba, Hiyo Kitu Ilikuwa Inatoka Dar es salaam - Arusha
Nyingine Inatoka Tanga - Arusha Acha Kabisa
Nini Sasa Hivi Kimeisibu Hii Kampuni
Kampuni Nyingi Zimekufa KitamboHivi hii kampuni ya shabaha express imefia wapi, sitasahau ilipiga mzinga ikamuua mshkaji wangu
Zilikuaa chopaa aisee!!Wale wadau wa ruti ya Arusha Dar, unakumbuka nini enzi mabasi ya Ngorika yakitamba?
Ulishawahi kusafiri na kampuni hii? Kama kuna lolote tushirikishane, tukumbushane!
KaribuniView attachment 1099493
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kuna moja walikuwa wa naweka vigoda kipindi cha Christmas unakaa na tako moja hadi unasema yatosha.... Kwenye bumps ni mwendo wa kurushwa
Chakito ni ya juzi tu, kuna chakito moja liliandikwa ndama jeuri hii gari weka mbali na watotoNdege hii nilikua naipanda sana...ile iliyokua imeandukwa macedonia ni hatari sana,mpinzani wake alikua Buffalo na chakito longway....
Wamekula sana elf 50 kwa kuingia stand kama bus za kwanza
Ngorika Ni Gari Yabura Mwanga Saa Saba, Hiyo Kitu Ilikuwa Inatoka Dar es salaam - Arusha
Nyingine Inatoka Tanga - Arusha Acha Kabisa
Nini Sasa Hivi Kimeisibu Hii Kampuni
Ngoma zishaanza jaramba, wakati wowote on the roadWale wadau wa ruti ya Arusha Dar, unakumbuka nini enzi mabasi ya Ngorika yakitamba?
Ulishawahi kusafiri na kampuni hii? Kama kuna lolote tushirikishane, tukumbushane!
KaribuniView attachment 1099493
2010 nishawahi dandia ngorika moja pale Mombo nikiwa nakuja Dar ilikuwa inaendeshwa na mtu mwenye asili ya kiarabu kama sijakosea. Siku hiyo bus zilikuwa shida hivo ikanilazimu nikae kwenye kitanda pale karibu na mrangoni na kwa dereva aisee jamaa alikuwa anaendesha gari balaa afu walikuwa wanapiga story na kondakta wake sasa unakuta inafika kipindi akawa anajisahau kabisa anaachia usukani mara apeane tano na konda wake. Nilipofika ubungo nikasema ahsante Mungu kwa kufika salama ila nilijiapiza sitakuja kupanda ngorika tena