Tbt: Koroshow katika picha

Tbt: Koroshow katika picha

Msolo

JF-Expert Member
Joined
Oct 19, 2008
Posts
3,832
Reaction score
5,309
Januari 30 mwaka huu Serikali kupitia bodi ya Nafaka Mchanganyika (CPB) iliingia makubaliano na kampuni ya Indo Power kwaajili ya ununuzi wa tani 100,000 za Korosho na endapo wangefanikiwa, Serikali ingepata Dola za Marekani 180.2 milioni sawa na TZS bilioni 418
1092501
 
Wale wasanii wa bongo muvi siku hizi hawasikiki kabisa! what went wrong?
 
Nyinyi angalieni hiyo matumbo yao tu ndio mtajua hai ni watu wa aina gani.
 
Januari 30 mwaka huu Serikali kupitia bodi ya Nafaka Mchanganyika (CPB) iliingia makubaliano na kampuni ya Indo Power kwaajili ya ununuzi wa tani 100,000 za Korosho na endapo wangefanikiwa, Serikali ingepata Dola za Marekani 180.2 milioni sawa na TZS bilioni 418
View attachment 1092501
Hahaha Kabudu ametokelezea sana hapo
 
Januari 30 mwaka huu Serikali kupitia bodi ya Nafaka Mchanganyika (CPB) iliingia makubaliano na kampuni ya Indo Power kwaajili ya ununuzi wa tani 100,000 za Korosho na endapo wangefanikiwa, Serikali ingepata Dola za Marekani 180.2 milioni sawa na TZS bilioni 418
View attachment 1092501
Kabudi unatudhalilisha waalimu wenzako bana!!!
 
Back
Top Bottom